Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ..Huyu Jamaa ni polisi na Wanamfahamu..Sema wameamua kumaliza kesi kwa kusema hajulikani..Huy ni askari angalia picha penye duara mfuko wa nyuma ni pingu hizoView attachment 602639
Haha ha haNimeota LISSU amekuwa raisi wa nchi ila hatalipiza kisasi .Naota tu
ben atakuwa amemwagiwa tindikali akayeyukilia mbali hata mzoga wake hautawahi kuonekanaSiyo kwamba hawajui kuongopa.Hapa issue ni amri kutoka mbinguni. Ila imependeza kujulikana kuwa ni mmoja wapo wa wale makirikiri wanaomlinda mwana wa mungu aliyeko hai katika ulimwengu wa makinikia na vipande viwili vya bherngae. Asante kwa utafiti na ugunduzi wenu. I believe kwa mwendo huu itajulikana hata alipo au yalipo mabaki ya kijana benny
KabisaKm kuna MTU anaiamini police Tanzania na serkali ya magufuli wapimwe akili
Hizo ndio siasa za mabashite wakiongozwa na mkuu wa ukoo bwana gongo kali......hawa wanatumika kufanya mauaji ya watu wasio na hatia!!
Wakamatwe...kisha Nape, Dereva wa Lisu, Kitenge waitwe kuwatambua!! Na lissu apelekewe picha zao akawatambue, waseme nani alikuwa anawatuma? Ben saa nane alitupwa wapi!? N.k
Hii imwendee kitenge maana ndo aliyekuwa akizozana nayeHata hivyo waandishi wetu ni hovyo sana,yaani tukio kama hilo mnashindwa kuchukua picha bora,kisa woga wa bastola?
Nchi za nje,hii stori na picha zao kikamilifu zingeonekana front page ya magazeti yote.
Pumbavu sana hawa waandishi.
Hii nchi inatia hasira sana! Ona kaka wa watu anauguza vidonda na majeraha huko kwa ajili ya akili za ovyo tuKwa hiyo Sirro ni upuuzi gani uliouliza jana!? Kumbe unaye wewe na Bashite!! Conclusion: Bashite na huyo Henri ndio wauaji wa Tundu lissu
kwa ajili ana roho nyeusiHuyu ni mzee au kijana? ana sura Kama kobra
Kesi ya ngiri unapeleka kwa nguruwe nani ataamua?Kama ni hivyo Nape kwa nini asiende kumfungulia mashtaka huyo hery?
Hamjapata na video yake ya mwaka 2008?