Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Status
Not open for further replies.
Ni dhahiri Bashite yupo nyuma ya uteuzi wa kamanda zerro
Ni anayemmudu na kum manipulate atakavyo
 
Kuna ushahidi mwingine zaidi ya hizi picha? Mbona wa kwenye video hafanani kabisa na wa kwenye picha?

Yule aliye mtishia Nape na bastola nahisi atakuwa ni mhuni tu aliye jizukia huko mtaani, na ile ilikuwa ni toy la kuchezea watoto na siyo bastola.......

Kama kanda Sirro aliweza kulala nao mbele wale wahuni wa Kibiti sembuse itakuwa hao wa tukio la Lissu au Nape? Jeshi la polisi linafanya uchunguzi wake kimya kimya hapa tunazungwa ili hao wahalifu wadakwe kimya kimya
 
Aisee, nimeamini ujinga/ubovu wa Taasisi Fulani unaonekana dhahiri kupitia kwa Viongozi husika.

Kamanda Sirro badilikeni, dunia ya hivi sasa siyo ya kukurupuka kuongea ujisikiavyo. Bora ukae kimya kwa muda mambo yaongelewe yatapita tu kama mkuu wako uliyekuwa unapingana nae kuhusu Masisha hapo dar kabla hujawa Ze Big Boss wa Manjagu.

Rais wangu, yakupaswa utafakari zaidi na zaidi kwa wasaidizi wako, wengi haswa walioko katika majiji wamekuwa mizigo kwako japo unawabeba kwa kila ambalo halistahili. Wapumzishe watafutie kazi zingine maana wanakutia aibu kila kukicha.

Endesha mambo kiuweledi zaidi kuliko hisia. Kaa ukijua mambo mazuri hayaji bila fikra kinzani.

Ubora wa Mzee wa Msoga unathibitishwa na Mzee wa Chato.
 
Angalia hii picha ukiwa wewe na RC Makonda, Herry ni huyo hapo nyuma yenu.
huyu ndiye anadaiwa alimtolea Nape Nnauye bastola kule Oysterbay. Anaitwa Herry Kisanduku aka Kassimu Sniper.
DLXoYCxWsAAeZBu.jpg

DLXnj9GW4AARBnM.jpg


DLXnkySW0AAdRrP.jpg



Nape alivyoonja joto ya jiwe leo kwa kutolewa bastola na kusukumizwa kwenye gari

Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

Aka Mtu Asiyejulika Mbwa Hata Awe mkali Vipi Hawezi kuung'ata mkia wake
 
Kama ni hivyo Nape kwa nini asiende kumfungulia mashtaka huyo hery?

Hamjapata na video yake ya mwaka 2008?

wewe wawapi kama hujui kaa kimya kesi hii ipo mahakamani Nape alikwisha kwenda polisi lakini mtuhimiwa ndio hajulikani alipo kulingana na maelezo ya Kamanda zero
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom