Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Status
Not open for further replies.
Mm watanzania wa Leo siwawezi kabisa!!! Namna hiiii kweli 2020 tutafika tukiwa salama kwa rehema za Mungu tu
 
Dogo una shida ya macho? nenda kwa daktari next time utamkana mpaka mke wako kwamba hujawahi kumuona.
 
Jibu lao ni Mange mkuu! Mange akisema basi. hakuna kuuliza tena.
Hata hili nalo unalitetea? Kweli watu wengine akili zenu ziko mku&$ni. Hili jambo ni baya na halina chama, ni matukio mabaya ya kuhusu maisha ya watu kwa nini ushabikie? Au ndio sera zenu nyambafu nyie?
 
Duuuh jamaa hawajui hata kudanganya
Bora wakubali tu ni polisi.
Ila kukataa kuwa si polisi ni kucheza na akili zetu.sisi watu wazima na akili zetu.kwanini watudanganye?
MTU anatoa bastola kwa kujiamini kabisa.mpaka mwenzie ana mzuia ana mwambia mbona hauna busara.
 
KAMANDA sirro alichokuwa anakiomba kakipata sasa kazi kwake akishindwa kuchukua hatua ndani ya saa 24 naye ni mshiriki wa matukio haya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…