madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Kwan huyu jamaa aliua au mbona mnashadadia sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo una shida ya macho? nenda kwa daktari next time utamkana mpaka mke wako kwamba hujawahi kumuona.Kuna ushahidi mwingine zaidi ya hizi picha? Mbona wa kwenye video hafanani kabisa na wa kwenye picha?
Yule aliye mtishia Nape na bastola nahisi atakuwa ni mhuni tu aliye jizukia huko mtaani, na ile ilikuwa ni toy la kuchezea watoto na siyo bastola.......
Kama kanda Sirro aliweza kulala nao mbele wale wahuni wa Kibiti sembuse itakuwa hao wa tukio la Lissu au Nape? Jeshi la polisi linafanya uchunguzi wake kimya kimya hapa tunazungwa ili hao wahalifu wadakwe kimya kimya
Mimi nimeshangaa sana. na kumwombea kwa Mungu wa kweli amsamehe kwa hiyo kufuruhivi bashite alivyo sema hii dunia siyo ya Mungu alikuwa anamaanisha nini
Angalia hii picha ukiwa wewe na RC Makonda, Herry ni huyo hapo nyuma yenu.
huyu ndiye anadaiwa alimtolea Nape Nnauye bastola kule Oysterbay. Anaitwa Herry Kisanduku aka Kassimu Sniper.
![]()
![]()
![]()
Nape alivyoonja joto ya jiwe leo kwa kutolewa bastola na kusukumizwa kwenye gari
Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe
Hata hili nalo unalitetea? Kweli watu wengine akili zenu ziko mku&$ni. Hili jambo ni baya na halina chama, ni matukio mabaya ya kuhusu maisha ya watu kwa nini ushabikie? Au ndio sera zenu nyambafu nyie?Jibu lao ni Mange mkuu! Mange akisema basi. hakuna kuuliza tena.
Bora wakubali tu ni polisi.Duuuh jamaa hawajui hata kudanganya
Mbavu zangu!!!Mkuu hivi ujui kuwa hii nchi inaongozwa na viherehere,?