waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 198
- 470
Inadaiwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Jonathan Mabihya, amefanya tukio jingine jipya na baya kwa kushirikiana na katibu Mwenezi wa wilaya CCM Manispaa ya moshi Athuman Mfuchu kuchukua mamilioni ya fedha za kinamama
Taarifa kutoka ndani ya chama zinasema Mabihya akishirikiana na katibu mwenezi huyo ambaye ndiye aliyepewa mgahawa waliomnyang’anya aliyekuwa diwani wa kata ya Kaloleni Mwita,mabihya ameshindwa kulipa hali iliopelekea Vikundi Vingi Kunyimwa Mkopo Hivyo Ndani Ya Manispaa Ya Moshi ku
Ikumbukwe kwamba mwezi mmoja uliopita kupitia vyombo vya habari ziliripotiwa taarifa za katibu huyo kumnyang’anya mgahawa pamoja nakuchukua vitu mbalimbali vilivyopo kwenye mgahawa uliopo ofisi za CCM Wilaya ya Moshi ambao alikuwa akimiliki Mwita
Katibu Mabihya amekuwa akijitapa kwamba hawezi kung’olewa Mkoani Kilimanjaro kwa kuwa ana backup kutoka juu huku akiendelea kuumiza wanachama,kupanga safu za uongozi pamoja nakukivuruga chama cha CCM mkoa wa Kilimanjaro jambo linaloweza kufanya kupoteza majimbo ya uchaguzi kwa Mkoa wa Kilimanjaro
Baadhi ya akina mama ambao hawajataka majina yao kutajwa wameiomba serikali kuingilia kati jambo hilo kwa kuwa linakwamisha maendeleo ya akina mama na jamii kiujumla