Maswali yako mengi uliyouliza ni ya kipuuzi tu! Eti Yanga imewakimbia Simba Dar! Una ushahidi?
Mara eti kipigo kina uhusiano na Manara! Who is Hajji Manara by the way!
Yaani unataka uwaamishe watu ujinga? Sababu za Yanga kufungwa ziko wazi, ila wewe unakuja na porojo.
Sishangai mwenyekiti wenu mstaafu kuwaita mbumbumbu!