Inadaiwa Kigogo wa Simba aonekana Mwanza wakati wa mechi ya Yanga, watu wapatwa na mshtuko

Inadaiwa Kigogo wa Simba aonekana Mwanza wakati wa mechi ya Yanga, watu wapatwa na mshtuko

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau.

Hi ni tetesi inazunguka sana mtaani.

Eti Kigogo wa Simba Manara alionekana CCM Kirumba Mwanza Wakati Yanga ikichezea kichapo cha bao 2 kutoka kwa waarabu.

Watu wanajiuliza.
1. Simba ilikuwa Arusha yeye alikwenda Mwanza Kufanya nini?
2.Je kipigo cha Yanga kinauhusiano na uwepo wake Mwanza?
3. Je klabu ya Simba inazo taarifa kuwa alikuwapo Mwanza?
4. Je pamoja na Yanga kuwakimbia Simba Dar bado tu hawakuridhika hadi waamue kuwafuata Mwanza?
5. Je Kigogo huyu ana Uzalendo kwa Nchi yake?
Karibuni tujadili tetesi
 
Hivi haji naye n kidogo huko simba Haaaa tuwe serious kidogo

Nje ya Mada hivi yanga s wasiende tu misri maana wanaweza jikuta wanakula 8+ ushauri tu
 
Wameshindwa Uwanjani Kweupe Wote Tumeona Hayo Unayosema Hayana Mashiko Yoyote

😀😁😂🤣😃😄😅
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua Sikio
 
Tujadili pia ko Yanga mliwakimbia Simba Taifa na sio pyramid?
Afu la manara si la kujadili mana alisema kabsa ataenda mwanza au ufuatilii social network.?
 
Yanga akili mingi wameenda mwanza sio kwa ajili ya kushinda bali kupunguza kapu la magoli kama wangecheza uwanja wa kisasa na pia hakuna sehemu ya kuficha hirizi zao taifa
 
Sheria za CAF zinasemaje kwani mechi ya Jana timu zote zimechezwa ugenini
 
Maswali yako mengi uliyouliza ni ya kipuuzi tu! Eti Yanga imewakimbia Simba Dar! Una ushahidi?
Mara eti kipigo kina uhusiano na Manara! Who is Hajji Manara by the way!

Yaani unataka uwaamishe watu ujinga? Sababu za Yanga kufungwa ziko wazi, ila wewe unakuja na porojo.
Sishangai mwenyekiti wenu mstaafu kuwaita mbumbumbu!
 
Kwani viongozi wa Simba hawaruhusiwi kwenda Mwanza kuangalia mechi ya Yanga?
 
uzalendo kwanza simba baadae
ila tatizo hapa ni media ziliwaaminisha kuwa mtamfunga mwarabu
na nyie mkaamni
 
Mchezo wà soka hauchezwi kwa siri kiasi kwamba viongozi wa Simba wakatazwe kushuhudia mchezo wa Yanga.
Sidhani kama kweli Yanga wamekimbilia Mwanza kuikwepa Simba.
Kama kweli wameikimbia Simba basi Tanzania tuna tatizo kubwa kwenye uongozi wa soka
 
Back
Top Bottom