sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwani kipi kinashindikana kama Instagram wameanza hii michezo ya watu kukuta account zao zimem follow biden bila hiari yao.Kwa hiyo hao million 18 wamelazimishwa kumfollow Biden acha uongo
Biden ana miaka 79 yeye na Instagram wapi acha uongo Kama ndo hivyo tungesikia kwenye mainstream media hii skendo ni kubwa kakaKwani kipi kinashindikana kama Instagram wameanza hii michezo ya watu kukuta account zao zimem follow biden bila hiari yao...
Kweli haya mambo wewe mgeni, mainstream medua kama cnn wapi na wapi waanze kutangaza hizi habari, wanamilikiwa na democrats ndio maana hawawezi.Biden ana miaka 79 yeye na Instagram wapi acha uongo Kama ndo hivyo tungesikia kwenye mainstream media hii skendo ni kubwa kaka
"Majungu sio mtaji"
Yaan Fox news, na Breitbart wasiitangaze na wote nawasoma kila siku acha uongo nduguKweli haya mambo wewe mgeni, mainstream medua kama cnn wapi na wapi waanze kutangaza hizi habari, wanamilikiwa na democrats ndio maana hawawezi.
Mkuu wewe bado ni mgeni sana haya mambo, Fox news hao walisjawekwa mfukoni, wanataka kurudisha hadhi yao ya kuwa neutral lakini its too late.Yaan Fox news, na Breitbart wasiitangaze na wote nawasoma kila siku acha uongo ndugu
Waliwekwa mfukoni kivip, acha upotoshaji nimekutajia most conservative media Breitbart mbona hawajaitangaza hio habari na kila siku nasoma habari zaoMkuu wewe bado ni mgeni sana haya mambo, Fox news hao walisjawekwa mfukoni, wanataka kurudisha hadhi yao ya kuwa neutral lakini its too late.
Mkungu siyo mkwaju; Uongo siyo taji^Biden ana miaka 79 yeye na Instagram wapi acha uongo Kama ndo hivyo tungesikia kwenye mainstream media hii skendo ni kubwa kaka
"Majungu sio mtaji"
Ongezea na QANN na NewsmarksYaan Fox news, na Breitbart wasiitangaze na wote nawasoma kila siku acha uongo ndugu
Kwani ni lazima watangaze kila habari inayotokea??,Wewe ni kila habari huwa unaipata kwenye TV networks??...yaani habri isipotangazwa na fax news au cnn basi haikutokea?Waliwekwa mfukoni kivip, acha upotoshaji nimekutajia most conservative media Breitbart mbona hawajaitangaza hio habari na kila siku nasoma habari zao
Hii skendo ni kubwa sana hivi unazijua conservative media, tatizo lako na watanzania wengi hamzijui na kuzifuatilia conservative mediaKwani ni lazima watangaze kila habari inayotokea??,Wewe ni kila habari huwa unaipata kwenye TV networks??...yaani habri isipotangazwa na fax news au cnn basi haikutokea?
Hebu usiwe narrow minded kiasi hicho, jama ameweka hadi ushahidi wa attachment hapo juu. wewe bado unakomaa na cnn na fox. Kwa mfano Kwani hujui kuna watu huwa wanaongeza au kupunguza viewers Youtube? Hii michezo ipo, sasa wewe subir CNN waje wakwambie youtube wanachezea viewers/subscribers.
Conservative media nazijua na nazifuatilia sana tu,hiyo issue ya kuchagua upande kati ya Conservative na Libaral media sioni kama ni geni na sijui ni kwa nini unashangaa katika hilo maana lipo katika chaguzi zote na hata vita ambayo marekani inapigana pia huchagua upande.Hii skendo ni kubwa sana hivi unazijua conservative media, tatizo lako na watanzania wengi hamzijui na kuzifuatilia conservative media
Kama sasa conservative media ni mwendo wa kumponda Biden mwanzo mwisho haiwezekani habari Kama hio waiache ipite hivi hivi, habari Kama hio Tucker Carson au Sean hannity asiongelee never
Tatizo la conservative wa leo wamekua wakiongozwa na conspiracy theorist, na uongo mfano kipindi Cha Obama Trump alishikilia bango kwamba Obama ajaziliwa marekani kumbe ni uongo, baadae baada ya Trump kuwa rais akakanusa kwamba ule ni uongo akasema Obama kazaliwa marekaniConservative media nazijua na nazifuatilia sana tu,hiyo issue ya kuchagua upande kati ya Conservative na Libaral media sioni kama ni geni na sijui ni kwa nini unashangaa katika hilo maana lipo katika chaguzi zote na hata vita ambayo marekani inapigana pia huchagua upande...Ila ninachokuhakikshia na ni fact ni kwamba,Liberal mediaa are very powerfull 20x kuliko conservative media.media kama CNN,MSNBC,CBS,Washington Post,New york Times yote hayo ni ant conservative believes and values.Tukija kwenye Silicon Valley social media Tech giants kama Google,Twitter,Facebook, Instagram wote hawa ni Liberal sided Medias.Finaly nachosema ni kwamba Dunia na Marekani are 20X to be indocrinated by liberal propaganda than conservative propagandas, and this is fact...