Inadaiwa kuwa Instagram inalazimisha Wamarekani kufollow page ya Biden bila hiari yao. Je, umaarufu ni lazima?

Inadaiwa kuwa Instagram inalazimisha Wamarekani kufollow page ya Biden bila hiari yao. Je, umaarufu ni lazima?

Tatizo la conservative wa leo wamekua wakiongozwa na conspiracy theorist, na uongo mfano kipindi Cha Obama Trump alishikilia bango kwamba Obama ajaziliwa marekani kumbe ni uongo, baadae baada ya Trump kuwa rais akakanusa kwamba ule ni uongo akasema Obama kazaliwa marekani

Na ndo maana zile sehemu zote ambazo zinawasomi wengi democratic wanashinda kirahisi, huku zile sehemu watu Wana elimu ndogo na vijijin walishinda Republican kwa sababu ya upeo mdogo wa kungamua mambo

Liberal media wananguvu sababu wanaongoza na common sense tofauti na conservative wanaongozwa na conspiracy theorist, ndo maana fox news wameshtakiwa waprove mahakamani kwamba trump aliibiwa kura na wahaha kwa sababu prove hawana na wasipolipa wanatakiwa walipe mabilion ya fedha
Liberals wana common sense? Since when? Conservative ni watu wa values and facts. Liberals wanashinda sio kwa sababu watu wameelimika NO, wanashinda kwa sababu most of the younger generation in US are stupid and not thinking clearly.

Fox news hawajawahi sema Trump aliibiwa kura,walichokuwa wanareport ni election irregularities kitu amnacho liberal median hazikuwahi kureport. Unasema CNN wana common sense? Nani ana commeon sense pale,Don Lemon au Chris Cuomo? Hao wote shaw zao zilikuwa rated below Fox News prime shows miaka yote minne ya Trump kwa sababu walikuwa hawafanyi news bali activism.

Nakupa home work ndogo tu, tuweke hisia pembeni, tafuta muda wato msikilize Tukcer Carson wa Fox News, halafu pia Waskilize Don Lemmon Na Chris Cuomo wa CNN the compare the two kwenye jinsi wanareport news zao, then amua mwenyewe,yupi ni Journalist na yupi ni Activist.

BTW: In 2016 only 7% of the journalist identified as Conservatives, the other 93% ni liberal democrats. Wewe unafikiri hapo kuna news tena?

Marekeni kwa sasa hakuna reals news tena basi ni activism and who reports first.
 
Kwan conservative wamekataliwa wasisome u-journalism

Fox news wanakesi ya kujibu kwa kukusaidia Kama ulikua hujui
 
Punguza kusoma Breibart au Q Annon wewe bila shaka unaamini propaganda kwamba Obama ni terrorist au Michelle Obama alikuwa mwanamke, bila shaka unaamini kwambwa watu weusi ni manyani. Duh
 
Kwan conservative wamekataliwa wasisome u-journalism

Fox news wanakesi ya kujibu kwa kukusaidia Kama ulikua hujui
Hakuna shida watajibu tu japo siku hizi kuna mpasuko mkubwa sana Fox News kati ya neutral reporters na democrats reporters

Any way nakukumbusha tu CNN waliomsingizia kijana moja kumshambulia native walimtajirisha huyu kijana kwa kumlipa dola milioni 275, hakika njia ya uongo ni fupi.

Waliwekwa mfukoni kivip, acha upotoshaji nimekutajia most conservative media Breitbart mbona hawajaitangaza hio habari na kila siku nasoma habari zao
Mkuu siwezi kukufanyia homework ya vitu ambavyo haupo updated navyo. Any way fatilia kwanini fox news imepewa jina mbadala la "faux news", haupo upto date na hivi vitu, heri ukae pembeni tu
 
Kwan conservative wamekataliwa wasisome u-journalism

Fox news wanakesi ya kujibu kwa kukusaidia Kama ulikua hujui
Sio suala la kusoma journalism au la,ni kwamba hata uko vyuoni wanaposoma wanaanza kuwa indoctrinated na izo stupid liberal believes and ideologies.

Fox news kuwa na kesi sio jambo jipya,kampuni yeyote lazima iwe na kesi,isue ni wewe kunidanganya kwamba eti walisema Trump kaibiwa kura,sio kweli. Walicho report ni election irregularities na video walionyesha with facts. Kama ni kesi kila mtu ana haki ya kushtaki, hiyo sio issue.
 
blocked-wh.jpg

Jipya limeibuka wamarekan kulalamika account zao za instagram kufollow account ya Biden bila ruhusa yao.

Kwa tafiti zilizofanywa ni kwamba ilikuwa ni aibu kwa Biden kuwa na followers chini ya milioni 1 hivyo uamuzi wa haraka ilibidi ufanyike kuhakikisha kwa namna yoyote ile Biden inabidi apate followers wengi ambapo kwa sasa kapiga hatua kutoka followers milioni 1 hadi milioni 18

Jambo hili halijaishia hapa tu, watu waki unfollow au kublock page ya instagram ya Biden, Basi ni baada ya masaa machache tu hulazimishwa kui follow upya kitu ambacho ni cha ajabu sana maana page zingine uki unfollow au ku block huwa hazionekani.
Mkuu tunaomba source ya habari yako kama hautojali!
 
Back
Top Bottom