SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,375
Liberals wana common sense? Since when? Conservative ni watu wa values and facts. Liberals wanashinda sio kwa sababu watu wameelimika NO, wanashinda kwa sababu most of the younger generation in US are stupid and not thinking clearly.Tatizo la conservative wa leo wamekua wakiongozwa na conspiracy theorist, na uongo mfano kipindi Cha Obama Trump alishikilia bango kwamba Obama ajaziliwa marekani kumbe ni uongo, baadae baada ya Trump kuwa rais akakanusa kwamba ule ni uongo akasema Obama kazaliwa marekani
Na ndo maana zile sehemu zote ambazo zinawasomi wengi democratic wanashinda kirahisi, huku zile sehemu watu Wana elimu ndogo na vijijin walishinda Republican kwa sababu ya upeo mdogo wa kungamua mambo
Liberal media wananguvu sababu wanaongoza na common sense tofauti na conservative wanaongozwa na conspiracy theorist, ndo maana fox news wameshtakiwa waprove mahakamani kwamba trump aliibiwa kura na wahaha kwa sababu prove hawana na wasipolipa wanatakiwa walipe mabilion ya fedha
Fox news hawajawahi sema Trump aliibiwa kura,walichokuwa wanareport ni election irregularities kitu amnacho liberal median hazikuwahi kureport. Unasema CNN wana common sense? Nani ana commeon sense pale,Don Lemon au Chris Cuomo? Hao wote shaw zao zilikuwa rated below Fox News prime shows miaka yote minne ya Trump kwa sababu walikuwa hawafanyi news bali activism.
Nakupa home work ndogo tu, tuweke hisia pembeni, tafuta muda wato msikilize Tukcer Carson wa Fox News, halafu pia Waskilize Don Lemmon Na Chris Cuomo wa CNN the compare the two kwenye jinsi wanareport news zao, then amua mwenyewe,yupi ni Journalist na yupi ni Activist.
BTW: In 2016 only 7% of the journalist identified as Conservatives, the other 93% ni liberal democrats. Wewe unafikiri hapo kuna news tena?
Marekeni kwa sasa hakuna reals news tena basi ni activism and who reports first.