"Chama anaweza akacheza hata Barceolna" mwisho wa kunukuuKuna tetsi zinaendelea Chama kurudi SimbaView attachment 2004695
Kuna tetsi zinaendelea Chama kurudi SimbaView attachment 2004695
Jangwa la sahara au Kalahari?Makubaliano na Jangwani Tayari Mkuu Au hufuatilii Mitandao kujua kinaendelea nini?
Tayari Kila Kitu kimekamilika na January anatua jangwani! Hawezi kurudi Simba Kaka
Labda jangwa la SahelMakubaliano na Jangwani Tayari Mkuu Au hufuatilii Mitandao kujua kinaendelea nini?
Tayari Kila Kitu kimekamilika na January anatua jangwani! Hawezi kurudi Simba Kaka
na hata akipangwa haleti impact tarajiwa.mazingira magum kvp au anasugua benchi?
Jangwa lipi kwanza🙄🙄Makubaliano na Jangwani Tayari Mkuu Au hufuatilii Mitandao kujua kinaendelea nini?
Tayari Kila Kitu kimekamilika na January anatua jangwani! Hawezi kurudi Simba Kaka
Moja ya vipengele vya mkataba vinasema ndani ya miaka mitatu Chama akirejea Tz lazima acheze Simba au kipaumbele Cha kwanza ni kucheza Simba na si timu nyingine yoyote. Labda Simba iwe haina mpango naye.Makubaliano na Jangwani Tayari Mkuu Au hufuatilii Mitandao kujua kinaendelea nini?
Tayari Kila Kitu kimekamilika na January anatua jangwani! Hawezi kurudi Simba Kaka
Tanzania kwenda world cupMoja ya vipengele vya mkataba vinasema ndani ya miaka mitatu Chama akirejea Tz lazima acheze Simba au kipaumbele Cha kwanza ni kucheza Simba na si timu nyingine yoyote. Labda Simba iwe haina mpango naye.
Hivyo Hersi anawadanganya mashabiki wa Yanga km mazuzu huku akijua ni kitu ambacho hakiwezekani.
Mkataba wa Miquisone ni hivyo hivyo.
Ebu tuonyeshe hicho kipengele kinachosema hivyo au na ww umehadithiwa kwamba kuna hicho kipengeleMoja ya vipengele vya mkataba vinasema ndani ya miaka mitatu Chama akirejea Tz lazima acheze Simba au kipaumbele Cha kwanza ni kucheza Simba na si timu nyingine yoyote. Labda Simba iwe haina mpango naye.
Hivyo Hersi anawadanganya mashabiki wa Yanga km mazuzu huku akijua ni kitu ambacho hakiwezekani.
Mkataba wa Miquisone ni hivyo hivyo.
Waache Wafu Wazike Wafu Wao!!!Kuna tetsi zinaendelea Chama kurudi SimbaView attachment 2004695
We mbwiga uyo anavunja mkataba na mambo yote ya mkataba yanaishia apo, ivyo mwenye kisu kikali ndo ataekula nyama tuone Kama mwamed atashindana kutoa kitita na wengine wasiokuwa wabahiliMoja ya vipengele vya mkataba vinasema ndani ya miaka mitatu Chama akirejea Tz lazima acheze Simba au kipaumbele Cha kwanza ni kucheza Simba na si timu nyingine yoyote. Labda Simba iwe haina mpango naye...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanachokipitia gsm Sasa hivi Mo alifanya kwa ubora wake kabisa misimu sita iliyopita.....unadhani Nani bahili nyie mnafanyiwa hivyo sababu ya jezi na madela Ila katika kuspend gharib hawezi shindana na mo hata siku mojaWe mbwiga uyo anavunja mkataba na mambo yote ya mkataba yanaishia apo, ivyo mwenye kisu kikali ndo ataekula nyama tuone Kama mwamed atashindana kutoa kitita na wengine wasiokuwa wabahili