Inadaiwa mchezaji Cloutus Chama anaweza kurudi Simba

Inadaiwa mchezaji Cloutus Chama anaweza kurudi Simba

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Kuna tetsi zinaendelea Chama kurudi Simba

Screenshot_20211109-190456.jpg
 
Ataweza kurudi kweli simba na vile MO alizingua kipindi kile kwenye insta live ya Chama!!
 
Makubaliano na Jangwani Tayari Mkuu Au hufuatilii Mitandao kujua kinaendelea nini?
Tayari Kila Kitu kimekamilika na January anatua jangwani! Hawezi kurudi Simba Kaka
Moja ya vipengele vya mkataba vinasema ndani ya miaka mitatu Chama akirejea Tz lazima acheze Simba au kipaumbele Cha kwanza ni kucheza Simba na si timu nyingine yoyote. Labda Simba iwe haina mpango naye.

Hivyo Hersi anawadanganya mashabiki wa Yanga km mazuzu huku akijua ni kitu ambacho hakiwezekani.

Mkataba wa Miquisone ni hivyo hivyo.
 
Tanzania kwenda world cup

Chama baada yakusajiliwa hata nusu msimu hajamaliza watanzania wanataka arudi kisa hapati no

Mashabiki wa mpira tanzania ni taka taka
 
Moja ya vipengele vya mkataba vinasema ndani ya miaka mitatu Chama akirejea Tz lazima acheze Simba au kipaumbele Cha kwanza ni kucheza Simba na si timu nyingine yoyote. Labda Simba iwe haina mpango naye.

Hivyo Hersi anawadanganya mashabiki wa Yanga km mazuzu huku akijua ni kitu ambacho hakiwezekani.

Mkataba wa Miquisone ni hivyo hivyo.
Ebu tuonyeshe hicho kipengele kinachosema hivyo au na ww umehadithiwa kwamba kuna hicho kipengele

Acheni uzumbukuku nyie makolo
 
Huyu huyu shaffih dauda alisema Chama hawezi kurudi ligi ya bongo anamikataba mrefu RS Berkane. Leo huyuhuyu na page yake hii hii anapost kuwa chama anarudi Bongo???? KHUMANYOKHOOOOO ZAKE!
 
Moja ya vipengele vya mkataba vinasema ndani ya miaka mitatu Chama akirejea Tz lazima acheze Simba au kipaumbele Cha kwanza ni kucheza Simba na si timu nyingine yoyote. Labda Simba iwe haina mpango naye...
We mbwiga uyo anavunja mkataba na mambo yote ya mkataba yanaishia apo, ivyo mwenye kisu kikali ndo ataekula nyama tuone Kama mwamed atashindana kutoa kitita na wengine wasiokuwa wabahili
 
We mbwiga uyo anavunja mkataba na mambo yote ya mkataba yanaishia apo, ivyo mwenye kisu kikali ndo ataekula nyama tuone Kama mwamed atashindana kutoa kitita na wengine wasiokuwa wabahili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanachokipitia gsm Sasa hivi Mo alifanya kwa ubora wake kabisa misimu sita iliyopita.....unadhani Nani bahili nyie mnafanyiwa hivyo sababu ya jezi na madela Ila katika kuspend gharib hawezi shindana na mo hata siku moja
 
Kwa mfano ikiwa ni kweli mchezaji yupi wa nje ataachwa ili Chama asajiliwe?
 
Back
Top Bottom