Ripoti za uhakika zinadai Majitaka Khamenei alihamishiwa Moscow kwa siri baada ya kujeruhiwa vibaya katika mashambulizi ya Israeli mnamo Februari 28. Kulingana na Al-Jarida, Vladimir Putin alitoa msaada wa kusafirishwa. Majitaka Khamenei inaripotiwa kufanyiwa upasuaji katika hospitali ya kibinafsi ya huko Urusi. Vyanzo vya mageuzi pia vinadai anayeshikilia nafasi yake kwa sasa ni Gaidi Ali Larijan ambaye naye anatafutwa kwa udi na uvumba!! Yajayo yanafurahisha

Hutaki watu wajue Iran anavyogaragazwa?Kama mtu unajielewa habari muhimu za dunia sio za kupata X na jamii forum kwakweli nikiangalia yanayoendelea ktk arena ya vita na taarifa za humu + X dunia imekwisha si rahisi Tena kupata habari makini
Iko Ulimwenguni Maalim....Hapo Propaganda iko wapi?
These social media have been hijacked by jihadists and terrorist sympathizers who are busy generating AI materials to hoodwink the world.Kama mtu unajielewa habari muhimu za dunia sio za kupata X na jamii forum kwakweli nikiangalia yanayoendelea ktk arena ya vita na taarifa za humu + X dunia imekwisha si rahisi Tena kupata habari makini
We boya Mimi huwezi kunikuta nafuatilia taarifa za X Kwamba kuanzia vita ianze Israel kafa mwanamke mmoja, manina zenu Mimi Hezbollah wakirusha Hata jiwe muda huo huo napata taarifa mpaka idadi ya walio kufa,mpaka video Hezbollah wanatoa kila operation na IRGC hivyo hivyo, Hezbo wanarekodi matukio yote mostly live session. Nyie ndio mlisema Hezbollah wamemalizwa Iran makombara yameisha.Hutaki watu wajue Iran anavyogaragazwa?
Endeleeni tu kupotosha habari, Mara Netanyahu kafa mara kafufuka lakini mjue hata mfanye TAQIYYAH vipi Iran lazima apigwe mpaka apigike.!!!
Taarifa zenyewe zipo tu tatizo lenu waarabu wa kwa Mpalage hamtaki kusikia ukweli mnapenda uongo ambao ninyi mnaita TAQIYYAH Pamoja na hayo Iran atapigika tu