Israel wana tecknolojia ya Ealojia ya taarifa za mapema(Earl-warning) na wana Basement au Bomb-Shelter huwezi kulinganisha na ma Primitive kutoka iran au Lebanon.We boya Mimi huwezi kunikuta nafuatilia taarifa za X Kwamba kuanzia vita ianze Israel kafa mwanamke mmoja, manina zenu Mimi Hezbollah wakirusha Hata jiwe muda huo huo napata taarifa mpaka idadi ya walio kufa,mpaka video Hezbollah wanatoa kila operation na IRGC hivyo hivyo, Hezbo wanarekodi matukio yote mostly live session. Nyie ndio mlisema Hezbollah wamemalizwa Iran makombara yameisha.
Hata mm nimekwamia hapoYani atoroshwe kwa msaada wa Putin, kisha akatibiwe hospitali binafsi?