Inadaiwa Mojtaba Khamenei ametoroshwa kinyemela kwenda Russia kutibiwa

Inasemekana amekatwa miguu yote na kwamba hali yake ni mbaya sana baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Russia.
 
Israel wana tecknolojia ya Ealojia ya taarifa za mapema(Earl-warning) na wana Basement au Bomb-Shelter huwezi kulinganisha na ma Primitive kutoka iran au Lebanon.

Juzi walirusha Maroketi 200 yote yalipopolewa na kwa kuwa kulikuwa na taarifa za Mapema hakuna aliyekufa wala kujeruhiwa na ninyi takataka mnapoona hakufa mtu mnaumia sana sana.

Iran yanapopolewa makombola yake mnaumia sana mpaka mnaamua kusema uongo na kuua watu kwa maneno kutumia hisia zenu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…