Inadaiwa polisi walikuwa wanazuia Ole Shangay kusimikwa kuwa Laingwanan, kuna kitu gani kimefanya wazuie?

Inadaiwa polisi walikuwa wanazuia Ole Shangay kusimikwa kuwa Laingwanan, kuna kitu gani kimefanya wazuie?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Haijafahamika sababu hasa za Jeshi la Polisi kufanya jitihada kabambe za kuingilia mila za wamasai ili kuzuia Ole Shangay kusimikwa na kupewa Ulaigwanan (mwenye kujua atufahamishe)

Hata hivyo zoezi hilo limefanyika baada ya nguvu ya umma kushinda

Screenshot_2024-03-17-16-59-22-1.png
Screenshot_2024-03-17-16-59-12-1.png
 
Kama mila za Kamaasai zinamfanya Ole Shangay akidhi vigezo vya kusimikwa kuwa Laigwanan, basi hiyo ni stahiki yake, na lazima uamuzi wa jamii hii uheshimiwe. Tunategemea kusikia taarifa rasmi kutoka Jeshi la Polisi.
 
Unaambiwa zengwe si la nchi hii
 
Kama vile Mbowe alivyomzuia sumaye na kumtisha ajaribu kulamba sumu kwa ulimi!
 
Back
Top Bottom