Haijafahamika sababu hasa za Jeshi la Polisi kufanya jitihada kabambe za kuingilia mila za wamasai ili kuzuia Ole Shangay kusimikwa na kupewa Ulaigwanan (mwenye kujua atufahamishe)
Hata hivyo zoezi hilo limefanyika baada ya nguvu ya umma kushinda
Kama mila za Kamaasai zinamfanya Ole Shangay akidhi vigezo vya kusimikwa kuwa Laigwanan, basi hiyo ni stahiki yake, na lazima uamuzi wa jamii hii uheshimiwe. Tunategemea kusikia taarifa rasmi kutoka Jeshi la Polisi.