Inadaiwa Wafuasi wengi wa Chaumma walikaa Pembeni ya uwanja ili kuepuka Vumbi la Helikopta

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo.

Ni bahati mbaya kwamba vibali vya chopa hiyo vimechelewa kutolewa.

Angalia Umati wa watu waliojaa Pembeni ili kuogopa Vumbi.

 
Mnapata shida nyie!
Ume edit edit had umetimiza azma yako..
Hv chadema ilianzaje? We mtoto wa 2000 huwezi jua haya mambo
 
Hilo litakuwa vumbi la Kongwa.
 
CHAUMA , ni mifupa mikavu hata haifai kwa supu.
 
Acheni kuwapa Kik... Wapiteni kama hamuwaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…