Inadaiwa Wafuasi wengi wa Chaumma walikaa Pembeni ya uwanja ili kuepuka Vumbi la Helikopta

Hii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo.

Ni bahati mbaya kwamba vibali vya chopa hiyo vimechelewa kutolewa.

Angalia Umati wa watu waliojaa Pembeni ili kuogopa Vumbi.

View attachment 3355158View attachment 3355159
Wapigweeee
 
Fortila, Nyanye Go, Drlfter, Fundi Nchundo, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, binti viziwi na wale wengine, hadi hapo hamna ushauri kwa wasioelewa wananchi hawataki uchaguzi bila reforms?
 
Hii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo.

Ni bahati mbaya kwamba vibali vya chopa hiyo vimechelewa kutolewa.

Angalia Umati wa watu waliojaa Pembeni ili kuogopa Vumbi.

View attachment 3355158View attachment 3355159
Mbona kwa lowasa walikuwa hawakai pembeni,viwanja vilikuwa vinafurika
 
CCM na TISS wametapeliwa kibwege sana na hawa wahuni, hela imeliwa sasa wanatoa sababu za kitoto kabisa.
 
Hii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo.

Ni bahati mbaya kwamba vibali vya chopa hiyo vimechelewa kutolewa.

Angalia Umati wa watu waliojaa Pembeni ili kuogopa Vumbi.

View attachment 3355158View attachment 3355159
 
Hii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo.

Ni bahati mbaya kwamba vibali vya chopa hiyo vimechelewa kutolewa.

Angalia Umati wa watu waliojaa Pembeni ili kuogopa Vumbi.

View attachment 3355158View attachment 3355159
Wanasombwa na pesa za ibirisi ccm mfadhili mkuu wa chauma ubwabwa, bila ccm chauma inalala njaa kwani hawana kitu ni chama Tegemezi kwa ccm kwa 100%
 
Mbona kwa lowasa walikuwa hawakai pembeni,viwanja vilikuwa vinafurika
Pesa za kuwajaza kwenye mafuso zimekata Amos makala anakula chake mapema kiliko kutumia zote abaki masikini
 
Back
Top Bottom