Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
WapigweeeeHii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo.
Ni bahati mbaya kwamba vibali vya chopa hiyo vimechelewa kutolewa.
Angalia Umati wa watu waliojaa Pembeni ili kuogopa Vumbi.
View attachment 3355158View attachment 3355159
Hii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo.

Mbona kwa lowasa walikuwa hawakai pembeni,viwanja vilikuwa vinafurikaHii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo.
Ni bahati mbaya kwamba vibali vya chopa hiyo vimechelewa kutolewa.
Angalia Umati wa watu waliojaa Pembeni ili kuogopa Vumbi.
View attachment 3355158View attachment 3355159
Hii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo.
Ni bahati mbaya kwamba vibali vya chopa hiyo vimechelewa kutolewa.
Angalia Umati wa watu waliojaa Pembeni ili kuogopa Vumbi.
View attachment 3355158View attachment 3355159
Wamejaa sana pembeni wanaogopa vumbi
Tuletee picha zako ambazo hazijawa edited.Mnapata shida nyie!
Ume edit edit had umetimiza azma yako..
Hv chadema ilianzaje? We mtoto wa 2000 huwezi jua haya mambo
Maskin wachumia tumbo🤣🤣🤣Mnapata shida nyie!
Ume edit edit had umetimiza azma yako..
Hv chadema ilianzaje? We mtoto wa 2000 huwezi jua haya mambo
Wanasombwa na pesa za ibirisi ccm mfadhili mkuu wa chauma ubwabwa, bila ccm chauma inalala njaa kwani hawana kitu ni chama Tegemezi kwa ccm kwa 100%Hii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo.
Ni bahati mbaya kwamba vibali vya chopa hiyo vimechelewa kutolewa.
Angalia Umati wa watu waliojaa Pembeni ili kuogopa Vumbi.
View attachment 3355158View attachment 3355159
Chaumaccm ni kachama kapo mfukoni mwa Amos makala ni mradi wake haramu wa kupigia pesa kwa njia haramu za kishetaniMaskin wachumia tumbo🤣🤣🤣
Pesa za kuwajaza kwenye mafuso zimekata Amos makala anakula chake mapema kiliko kutumia zote abaki masikiniMbona kwa lowasa walikuwa hawakai pembeni,viwanja vilikuwa vinafurika