Tetesi: Inadaiwa wakubwa hawajafurahishwa na toleo la jarida hilo hasa kuhusu tukio la Simiyu lilivyo kolezwa

Uzuri hata hayo magazeti hayana tija sana. Siku hizi updates zipo za moto hazihitaji microwave kuzipasha. Hata wasipoandika hao wafanyabiashara wauza makaratasi habari zipo mkononi za motomoto na ushahidi wakutosha.

Zamani nakumbuka nilikuwa nafuatilia sana magazeti mwanaspoti hasa msimu kama huu wa usajili Ulaya nakuja kujua jumamosi kuna mchezaji alisajiliwa jumanne siku 5 zimepita. Sasa hivi Fabrizio Romano akipost tu ndani ya sekunde 1 tu najua kilichotokea Ulaya.

Watu waache zama za kutaka kuficha ficha mambo. Hakuna siri tena.
 
Imebidi nikam google fabrizo
 
Waambieni hizo habari tulikuwa tunazipata live kutoka uwanja wa mapambano na kama kupitia magazeti labda wao ndio njia ya kuzipata
 
Hao wakubwa wajaribu kufikiri kwa kina!!

Hizi move za maandamano baadhi ya maeneo Zina baraka fulani,initiotors was hizo sio wananchi wa kawaida,Kuna wenye mamlaka na nchi ndio Wanafanya kweli Ili kuhalalisha jambo lao!!!

Ubongo kisoda hauwezi jiuliza wafanyabiashara kariakoo,ngorongoro,simiyu,walimu mbeya!!

My friend watch out!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…