Bungurere
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 232
- 292
Wamelikologa wenyewe inatakiwa walinywe kwa maana wahenga walisema mchuma janga hula na wa kwaoView attachment 3075923
Inadaiwa wakubwa wamefura kwa hasira kuhusu kichwa cha habari kolezo kuhusu tukio la maandamo kule Simiyu.
Inasemekana Mhariri wa jarida hilo anapigiwa simu nyingi kuhojiwa kuhusu hilo.