Bungurere JF-Expert Member Joined Jan 24, 2023 Posts 232 Reaction score 292 Aug 22, 2024 #21 Asante CCM said: View attachment 3075923 Inadaiwa wakubwa wamefura kwa hasira kuhusu kichwa cha habari kolezo kuhusu tukio la maandamo kule Simiyu. Inasemekana Mhariri wa jarida hilo anapigiwa simu nyingi kuhojiwa kuhusu hilo. Click to expand... Wamelikologa wenyewe inatakiwa walinywe kwa maana wahenga walisema mchuma janga hula na wa kwao
Asante CCM said: View attachment 3075923 Inadaiwa wakubwa wamefura kwa hasira kuhusu kichwa cha habari kolezo kuhusu tukio la maandamo kule Simiyu. Inasemekana Mhariri wa jarida hilo anapigiwa simu nyingi kuhojiwa kuhusu hilo. Click to expand... Wamelikologa wenyewe inatakiwa walinywe kwa maana wahenga walisema mchuma janga hula na wa kwao
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 2,049 Reaction score 5,449 Aug 22, 2024 #22 Dalili ya mvua ni mawingu, maandamano na kinachoendelea Ngorongoro huko Simiyu ni trela tu! Picha yenyewe inakuja. Hao wanaojiita wakubwa kitakachotokea watajuta na hawata amini.
Dalili ya mvua ni mawingu, maandamano na kinachoendelea Ngorongoro huko Simiyu ni trela tu! Picha yenyewe inakuja. Hao wanaojiita wakubwa kitakachotokea watajuta na hawata amini.
Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 707 Reaction score 2,572 Aug 22, 2024 Thread starter #23 Retired said: stupid you CCM Click to expand... Nimekukuosea nini ndugu yangu!?
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,171 Reaction score 3,461 Aug 22, 2024 #24 Asante CCM said: View attachment 3075923 Inadaiwa wakubwa wamefura kwa hasira kuhusu kichwa cha habari kolezo kuhusu tukio la maandamo kule Simiyu. Inasemekana Mhariri wa jarida hilo anapigiwa simu nyingi kuhojiwa kuhusu hilo. Click to expand... MKUBWA NI MUNGU PEKE YAKE.
Asante CCM said: View attachment 3075923 Inadaiwa wakubwa wamefura kwa hasira kuhusu kichwa cha habari kolezo kuhusu tukio la maandamo kule Simiyu. Inasemekana Mhariri wa jarida hilo anapigiwa simu nyingi kuhojiwa kuhusu hilo. Click to expand... MKUBWA NI MUNGU PEKE YAKE.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 22, 2024 #25 Asante CCM said: Nimekukuosea nini ndugu yangu!? Click to expand... NISAMHE NILIKUWA SIJAELEWA HEADING YAKO nILIDHANI UNASHABIKIA MAUAJI YANAYOENDELEA KILA MAHALI. AGAIN SAMAHANI SANA.
Asante CCM said: Nimekukuosea nini ndugu yangu!? Click to expand... NISAMHE NILIKUWA SIJAELEWA HEADING YAKO nILIDHANI UNASHABIKIA MAUAJI YANAYOENDELEA KILA MAHALI. AGAIN SAMAHANI SANA.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Aug 22, 2024 #26 Ila huyu mama ana kiburi Sana. Eti wanaopotea ni drama tu.
BabuFey JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 1,659 Reaction score 2,913 Aug 22, 2024 #27 Waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa polisi ni wakati wa kufikiri mnatosha nyadhifa zenu kwa haya yanayoendelea kuanzia ya Awadh mpaka Simiyu achilia kupotea kwa watu. Has Tz turned into a lawless state of terror an torture?
Waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa polisi ni wakati wa kufikiri mnatosha nyadhifa zenu kwa haya yanayoendelea kuanzia ya Awadh mpaka Simiyu achilia kupotea kwa watu. Has Tz turned into a lawless state of terror an torture?
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,635 Reaction score 2,271 Aug 22, 2024 #28 Wahusika wawajibike haraka kupisha wenye uwezo wa kusimamia haki ya wananchi.