Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
Kwa ni amerika ndo ni ni ushamba wako wa kutetemekea amerika sio kama mtu anao, vitu vyote vinavyofanyika vipo hewani uzembe wako wa kuresearch unaokufanya unalishwa matango pori sio kama mtu anao. Sio ajabu na utu uzima wako mpaka leo unaamini amerika walienda mwezini, mijitu ya design yako ndo mko hivyo.We unapajua huko amerika unapopataja na kubisha usivyovijua?!
Duuh!! Kuwa "teeth" kuna mziki gani!!!??Aliyempa mungu kampa... kila mtu na rizq yake... waingie waone mziki wake [emoji4]β»
Basi bwana 'contractor', siwezi kuhangaika nawe kwa sababu siwezi leo hii kukurudisha nyuma nikakufunze tena uliyoachana nayo ukiwa sekondari.Short term memory na Longterm memory hazina uhusiano na hicho unachotudanganya.
Short term memory ni kumbukumbu za papo kwa papo mfano mtu umemuagiza vocha kabla hajafika dukani kasahau hiyo anatatizo la kupoteza short term memory. Long term memory loss ina include a year or two nahapo mtu hupoteza kumbukumbu zote sio selective kama unavyotaka kuwadanganya mandezi wenzako.
Eti receptors za jambo fulani receptor zilizotumika kucapture siri ya jambo fulani mwezi uliopita ndo hizo hizo zitatumika kucapture tukio la fumanizi, au la kupata mtoto, mchumba, au mke. Kwa hiyo ukiziblock sio kama umeblock siri fulani tu bali umeblock mpaka memory za mchumba, mke, mtoto na kila kitu kilichokua received after that siri. Upo
Acha uchizi wewe! We amerika unapajua?! πNaelewa ndio maana nakupinga, ni kweli teknolojia imekuwa sana ila kufuta kumbukumbu fulani uache nyingine hiyo inawezekana kwenye movie tu, hata hiyo amerika waliopiga hatua kiteknolojia hawawezi kufanya hiyo jambo upo?
Im not 20s, in fact 20s ndo wahanga wa hizo movies za kiamerika nashangaa mzee imekuwaje nawe ukanaswa kwenye huo mkumboDahh! πππππ
Huenda nabishana na mtoto wa early 20's anayewaza mademu, pamba kali, viwanja, Movie na simu kali... haya bwana mdogo ushindi wako... jimwae jimwae nimekuachia uwanja sikujibu tena ongea peke yako... tamba tu! πππΎ
Itakuwa kweli mi chizi maana hata NASA siwasikilizagi wala kuamini drama zao, ambazo we ndo chanzo chako cha taarifa za kisayansi, dah kweli mi chiziAcha uchizi wewe! We amerika unapajua?! π
Hebu kula unywe maji ya chumvi ulale πππΎ
Nina msingi nayo ila baada ya kuchimbua nikagundua ni mbwembwe tu ili tuwaone superpower kwa kila kitu ila nyuma ya pazia wanatulisha matango pori,Basi bwana 'contractor', siwezi kuhangaika nawe kwa sababu siwezi leo hii kukurudisha nyuma nikakufunze tena uliyoachana nayo ukiwa sekondari.
Ni wazi ulivyoandika hapo juu, huna msingi kabisa na maswala hayo.
Hata sielewi unazungumzia jambo gani hapa tena.Nina msingi nayo ila baada ya kuchimbua nikagundua ni mbwembwe tu ili tuwaone superpower kwa kila kitu ila nyuma ya pazia wanatulisha matango pori,
do your research
Achana na huyo Kijana! Anapinga mpaka asivyovijua akiamini havipo na haviwezekani πHata sielewi unazungumzia jambo gani hapa tena.
Huna 'background' yoyote juu ya jambo husika, ila unakaza shingo tu! Hii ni baada ya kuona maandishi yako yalivyo mbali kabisa na ufahamu wa eneo hilo.
Huo u'smart' unaojitambulisha nao katika jina lako unaweza kuwa feki, au ni katika mambo tofauti kabisa na kinachoongelewa hapa.
Haya, unataka nifanye 'research' ya jambo gani tena?
Ya yote wa amerika watudanganyiyo kwayoHata sielewi unazungumzia jambo gani hapa tena.
Huna 'background' yoyote juu ya jambo husika, ila unakaza shingo tu! Hii ni baada ya kuona maandishi yako yalivyo mbali kabisa na ufahamu wa eneo hilo.
Huo u'smart' unaojitambulisha nao katika jina lako unaweza kuwa feki, au ni katika mambo tofauti kabisa na kinachoongelewa hapa.
Haya, unataka nifanye 'research' ya jambo gani tena?
Mi ni raia mzalendo by nature ila pia kwa mafunzo hiyo 18 haiwezi kunihusu, after all tunabishana kuhusu teknolijia, kukuzidi point isikufanye utoe vitisho hewa.Achana na huyo Kijana! Anapinga mpaka asivyovijua akiamini havipo na haviwezekani π
Aingie siku kwenye"18" za wazee wa kazi akaoneswe kama vipo au havipo πβ»β»β»β»β»... atakuwa na adabu, utii na uzalendo daima! Dadadadeki! Nawatamani sana wapuuzi wa namna hii Smart Contract
Au sio?! πβ»Mi ni raia mzalendo by nature ila pia kwa mafunzo hiyo 18 haiwezi kunihusu, after all tunabishana kuhusu teknolijia, kukuzidi point isikufanye utoe vitisho hewa.
Inaweza kuwa hakuwa yeye lakini kumbuka huyu ni TISS kitambo tangu akiwa huko polisi,na kwa kuwa ndiye tuliyempata kwenye muda muafaka atakuwa anajua tuKwani Ben Alivypotezwa DG alikuwa ni huyu ?
unaandika vingereza viiiiiiiiingi na bado unachochora tu.Usibeze.
Ni sayansi tu mkuu, 'Mac Alpho', ukishaijua hakuna linaloshindikana.
'Receptors' ndani ya ubongo zinazoshughulikia maswala husika zinachaguliwa na kushughulikiwa. Zisizohusika haziguswi.
Na kwa vile 'Artficial Intelligence' si jambo geni tena, maswala kama haya yatawezekana na zitakuwa siyo stori tena za vijiweni.
Hizo dawa anazozizungumzia hapo huyo jamaa , mkuu 'Puna', kama hadithi, zinakuwa 'designed' na program za komputa maalum kwa kazi hiyo ya kufuta 'receptors' husika na mambo ya kumbukumbu ya mambo fulani.
Sasa nyinyi mnataka mjue alipo Ben ili iweje?!Inaweza kuwa hakuwa yeye lakini kumbuka huyu ni TISS kitambo tangu akiwa huko polisi,na kwa kuwa ndiye tuliyempata kwenye muda muafaka atakuwa anajua tu
Kwani haya yanafanyika Marekani pekee, vipi mkuu 'smart Contract', mbona unazidi kujionyesha kuwa na upeo mdogo sana?Ya yote wa amerika watudanganyiyo kwayo
EeeenHeeee!unaandika vingereza viiiiiiiiingi na bado unachochora tu.
CHAI
usibishane na watu watawaliwa wanaoamini vitu haviwezekaniEeeenHeeee!
Umeona maluelue au siyo?
"Viingereza viiiingi", ni kwa sababu sijui kiswahili chake, ningejua ningetumia lugha yetu adhimu kabisa, bila ya hivyo viingereza.
Sasa huko "kuchochora" kama ni lugha ya kiswahili, hapo nitaomba msaada kujua maana yake ni nini na inahusiana vipi na niliyoandika hapo.
Hakika mtu asichokijua ni kama usiku wa kiza kineneUsilolijua ni kama usiku wa giza