Usibeze.
Ni sayansi tu mkuu, 'Mac Alpho', ukishaijua hakuna linaloshindikana.
'Receptors' ndani ya ubongo zinazoshughulikia maswala husika zinachaguliwa na kushughulikiwa. Zisizohusika haziguswi.
Na kwa vile 'Artficial Intelligence' si jambo geni tena, maswala kama haya yatawezekana na zitakuwa siyo stori tena za vijiweni.
Hizo dawa anazozizungumzia hapo huyo jamaa , mkuu 'Puna', kama hadithi, zinakuwa 'designed' na program za komputa maalum kwa kazi hiyo ya kufuta 'receptors' husika na mambo ya kumbukumbu ya mambo fulani.