Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Uko unapewa vidonge ukilala ukiamka utakuwa umeformat kila kitu Unaanza upya.Ukumbuki chochote.
[emoji38][emoji23] Haina tofauti na mabalozi wa US wakipangiwa urusi wanarudigi kwao hoi kichwan
 
Au sio?! 😊☻

Una mafunzo ya kupambana mpaka na TISS eeh wasikutie mikononi?! 😃

Tena mtu wa design yako anatiwaga hatiani na mademu... na wanakutia na madole 😃 alafu ndo utaaminishwa huna mafunzo unajidanganya...., we una mafunzo ya kupambana na vibaka 😊
Mbona umekaa kisharishari sana nani aliyesema ana mafunzo ya kupambana kwani uzalendo uzalendo ni mapambano 😅😅 uzalendo ni kuheshimu, kuipenda na kuitunza misingi ya nchi yako mbona hilo somo lipo hata kwenye maarifa ya jamii, au ulikuwa mtegaji.
Naomba tuishie hapo umeshinda wewe maana naona baada ya kushindwa kutoa point za mada husika unaanza kunipakazia maneno mdomoni
 
Kwani haya yanafanyika Marekani pekee, vipi mkuu 'smart Contract', mbona unazidi kujionyesha kuwa na upeo mdogo sana?
Sawa ni na upeo mdogo ila fanya research ya ukizungumziacho.
No research, no right to speak
 
Nyie ni wapumbavu.
Hamuijui serikali, hamuzijui protocols za serikali.
Kwahiyo mnajua kapewa demotion 😳😳😳
 
We ndo wa kuniita mi mvuta bange kweli, iwapi busara yako mzee katika maneno haya
njia ya muongo fupi

Mbona umekaa kisharishari sana nani aliyesema ana mafunzo ya kupambana kwani uzalendo uzalendo ni mapambano 😅😅 uzalendo ni kuheshimu, kuipenda na kuitunza misingi ya nchi yako mbona hilo somo lipo hata kwenye maarifa ya jamii, au ulikuwa mtegaji.
Naomba tuishie hapo umeshinda wewe maana naona baada ya kushindwa kutoa point za mada husika unaanza kunipakazia maneno mdomoni
Hebu kaendelee na majukumu kijana. Hatutaki maneno mengi. Fanya kazi!
 
Sawa ni na upeo mdogo ila fanya research ya ukizungumziacho.
No research, no right to speak
Mkuu, hatujuani humu JF, kwa hiyo usidhani tu na kuhisi watu unaojibishana nao.

'At a minimum', ukitaka kujua angalau kidogo 'background' ya mtu unayejadiliana naye humu, jaribu kufuatilia baadhi ya michango yake inayowekwa humu inayohusiana na eneo husika linalojadiliwa.
Hiyo inaweza angalao kukupa mwanga kidogo juu ya uelewa wa mtu huyo katika eneo lenyewe.

Sasa nifunge mjadala: ilianza kama utani kwenye mada hii juu ya uwezekano wa "kufuta kumbukumbu za mtu juu ya jambo fulani, kama mambo anayohusika nayo kazini kwake.
Ingawaje, ki-uhalisia hilo haliwezekani kwa teknologia iliyopo sana, lakini sayansi inayotumika hata sasa hivi katika eneo hilo inao uwezo wa kufuta kumbukumbu, kiujumla, hata kama siyo kiufanisi kabisa juu ya kumbukumbu maalum, kama hiyo ya mambo ya kikazi ofisini.
 
Namaste 🙏🙏
 
Back
Top Bottom