Inafaa tunywe vipi maziwa?

Inafaa tunywe vipi maziwa?

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,666
Reaction score
12,178
Hapa namaanisha maziwa ya ng'ombe baada ya kuyakamua, ninywe hivyohivyo? au yafaa yachemshwe na kwa muda gani labda? au..? au..?
Wajuzi mnlsaidie!
 
chemsha kawaida tuu.usinywe bila kuchemsha asee hilo nalo sio la kukuna kichwa
 
Back
Top Bottom