Inafikirisha majanga ya Sudani na Afghanistan yalivyofuatana

Inafikirisha majanga ya Sudani na Afghanistan yalivyofuatana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Aisee dunia NI kama mashine ya KUKATA inakula watu vibaya mno imagine Jana Tu watu 800 wamekufa kwa tetemeko nchi ya Afghanistan Leo asubuh kuna maporomoko huko Sudan watu zaidi ya 1000 wamekufa.Ndo maana tunasema ndugu zetu hawa waache maimani makali na ugaidi kuua watu kupigana kila siku ona sasa katikati ya matatizo ya Amani mnakutanishwa na majanga haya ya asili hizo nguvu za uokozi mnazitolea wapi?
 
Maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya takriban watu 1,000 katika milima ya Marra magharibi mwa Sudan, kulingana na kundi la waasi la Sudan Liberation Movement/Army.

Mvua kubwa ilisababisha maporomoko ya ardhi siku ya Jumapili, huku aliyenusurika akiwa mtu mmoja tu wakati sehemu nyingi za kijiji cha Tarasin zikishuhudia "maafa" makubwa, kundi hilo lilisema katika taarifa.

Kundi hilo limeomba msaada wa kibinadamu kutoka kwa Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kikanda na kimataifa.

Wakazi wengi katika jimbo la Darfur Kaskazini walikuwa wametafuta hifadhi katika eneo la Milima ya Marra, baada ya vita kati ya jeshi la Sudan na Vikosi vya Rapid Support Forces (RSF) kuwalazimisha kuondoka makwao.
 
Aisee dunia NI kama mashine ya KUKATA inakula watu vibaya mno imagine Jana Tu watu 800 wamekufa kwa tetemeko nchi ya Afghanistan Leo asubuh kuna maporomoko huko Sudan watu zaidi ya 1000 wamekufa.Ndo maana tunasema ndugu zetu hawa waache maimani makali na ugaidi kuua watu kupigana kila siku ona sasa katikati ya matatizo ya Amani mnakutanishwa na majanga haya ya asili hizo nguvu za uokozi mnazitolea wapi?

Hawa watakuwa walimkosea nini allah? Maana ikitokea Marekani au Israel inakuwa wanaathibiwa na allah
 
Back
Top Bottom