Inafikirisha, Polisi alimtumaje KAZI Mjeshi?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, shalom!!

Zamani tuliaminishwa kuwa wajeda ni wazalendo, wenye Maadili, wapenda Nchi, Na haikuwa Rahisi mjeda kuhongwa Ili kupotoa HAKI.

Sasa tukio la uswahilini hapo Nchi Jirani ,limerudi kutufikirisha upya kuwa, iweje mkuu wa police kukaa meza Moja na mjeda Kisha kumtuma KAZI chafu.

NB: Yehu yu njiani kumalizana na Jeze....bl...!

Karibuni 🙏
 
Sasa tukio la uswahilini limerudi kutufikirisha upya kuwa, iweje mkuu wa police kukaa meza Moja na mjeda Kisha kumtuma KAZI chafu.

NB: Yehu yu njiani kumalizana na Jeze....bl...!

Karibuni 🙏
Asante sana, ni fikra fikirishi sana.

Ni kawaida sana wanajeshi kuwadharau polisi na kuwaita watoto wa mama, sasa, polisi kumtuma mjeshi, huo ni idhalilishaji.

Lakini, loopholes hazikosekani, labda kuna urafiki au undugu, mjeja anakubali kutumwa bila kujali itifaki.
 
Umiza tena Ubongo kidogo utajua zaidi ya hapo🤔
 
Salaam, shalom!!

Zamani tuliaminishwa kuwa wajeda ni wazalendo, wenye Maadili, wapenda Nchi, Na haikuwa Rahisi mjeda kuhongwa Ili kupotoa HAKI.

Sasa tukio la uswahilini hapo Nchi Jirani ,limerudi kutufikirisha upya kuwa, iweje mkuu wa police kukaa meza Moja na mjeda Kisha kumtuma KAZI chafu.

NB: Yehu yu njiani kumalizana na Jeze....bl...!

Karibuni 🙏
Movie, series n story za vijiweni are ruining our youths mindsets.
 
Hujawahi kuona Police anapigiwa salute Ma JWTZ,hii hutokana na vyeo vya kijeshi
 
Movie, series n story za vijiweni are ruining our youths mindsets.
Ndio nikasema movies na series zinaharibu jinsi ya kufikiri..
Labda nikuulize huyo police aliyewatuma hao alikuwa ilikuwa ni ktk MFUMO rasmi kikazi.
Jibu utalopata ndio jibu LA swali ktk Uzi wako
 
Back
Top Bottom