Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Mimi nafikiri hawa jamaa waliamua tu kucheza na bonge la fursa lilionekana ndani yetu
Tabu, Wasi Wasi, Ulimbukeni wa imani, Ushirikina.
And they are very rich, na wamehakikisha hawatoki kapa kwa maana ni rahisi kucheza na akili yako, zaidi katika hofu yako.
Wanakuaminisha na muujiza mmoja alafu ikifika zamu yako wanakuambia umeshikiliwa na wachawi 10, basi toa sadaka ya kujimaliza ili mwaka huu Mungu afungue neema juu yako.
I dont care kama miujiza ipo au haipo all i know ni kwamba hawa ni matapeli wa kiroho, na naamini mkono wao juu yako una mengi ya kiroho juu yake.