Inafikirisha sana hii tabia ya watu wazima kubaka watoto

Iwaay

Member
Joined
May 21, 2016
Posts
36
Reaction score
56
Hakuna kitu kinafikirisha sana kwa sasa kama hili la watu wazima kabisa tena wenye familia zao lakini unaambia eti kabaka mtoto mdogo.

Hivi hawa watu wanakuwa na matatizo gani hasa?. Kwanini watu wamekosa utu namna hii? Nini kinasababisha mambo kama Haya kutokea katika jamii zetu sasa hivi?

Itabidi sasa ifike mahali wanaume waanze kupimwa akili ili kujua kama wapo wazima. Haiwezekani kabisa mtu mwenye akili timamu abake mtoto mdogo.
 
Hawa watu watakuwa na matatizo ya akili, sio bure. Haiingii akilini eti unabaka kitoto kidogo, ili upate nini?? Ni matatizo ya akili mkuu hayo.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Asilimia kubwa mara nyingi wengi wao walipitia kulawitiwa/ kubakwa wakiwa wadogo ndio baadae hugeukia watoto nao so sad
 
Unakuta hao wabakaji nao humu wanalaan
 
Mi naona ni upumbavu tafuta ni Bora utafute bitch ugonge most of the time ni KWELI wamepungukiwa AKILI au masharti ya mganga kama Haina demu au MKE tafuta bitch MNA bargain mnamalizana tu
 
Na inaumiza sana juzi mtoto wa miaka miwili kabakwa alfu ety mahakama inasema huyo mtu akupe faini laki mbili au aende jela......Mama mwingine tena alikua anamuita mtoto wa miaka 14 anamwambia huyo mtoto amuingilie kinyume na maumbile ni vitu vinasikitisha sana na kuumiza
 
Mara nyingi huusishwa na ushirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…