Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Habari zenu wadau wa JamiiForums, poleni na majukumu ya kila siku.
Nimekua nikifuatilia kwa karibu hasa taarifa zinazoweza na kuniwezesha kuitembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti kwa muda sasa.
Ila sijafanikiwa kupata taarifa sahihi hivyo ningewaomba wale wenye uzoefu wa kuzitembelea mbuga za wanyama Tanzania wanipe muongozo wa kipi nifuate ili niweze kutembelea Serengeti kwa garama nafuu za Mtanzania wa kawaida.
Nakaribisha michango yenu.