Inagharimu kiasi gani kuitembelea mbuga ya wanyama Serengeti?

ila jihadhari na matapeli,unaweza kutoa pesa nyingi ukiaishia kupata huduma mbovu au ukaishia kupata safari hewa,piwa unaweza kupewa bei za ajabu na tofauti na huduma utakazopata.
 
[emoji23] Mkuu unaposema cheki na hawa unakosea sana, sema wakucheki maana unahusika moja kwa moja, tunakufahamu man, [emoji23][emoji23].

NOTE: Vaa barakoa nawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko.

Kausha basi [emoji23]
 
Hayo yooote ya nini!!! Sikia uzuri nendaaa!! mpaka Arusha lazima mtafika usiku tu kutokea DSM, lala hapo kesho yake panda Mohamed Trans Bus service! linaloenda Musoma !! humo utaona kila mnyama unaetaka ila usilale ni sh,12,ooo tu!! ila kulala, kula utajiju!!!

kama wewe una u kauzu falani hivi!! nunua mikate mingi na Orange squash tano km huna makuu!! ukifika kati humo utachagua kituo unachokipenda shuka hapo, then tembea tembea Kwenye vipori pori,

ila ukikutana na simba uwe makini!! jikaushe atakukimbia tu lazima!! palipo na simba chui hakai!! utaona meengi sana! kimbembe ni...

ukikutana na mbogo vua shati kimbia zig zag, au panda juu ya mti wa karibu yako!!! atakaa hapo chini hata siku mbili!! anasubiria mbaya wake ndo tabia zao!!! sababu una mikate hamna shida utakula hiyo halafu ina funga choo! usisahau vifuko vya lambo vingi. ajili ya dharula.

Usitupe wala kuokota chochote ndani ya hifadhi, vilambo vikijaa funga vizuri, weka kwa Bag yako utavitupa Mugumu mjini!

usithubutu kukojoa chini ya mti!! nyati atanasa harufu yako milele, akikusikia popote upepo unapovuma unalo hata ukiwa kwa gari lazima aangushe gari hiyo, kwa madereva wanazoefu wanajua madhara yake lazima ushushwe ili wengi wapone!! hiyo ni sheria ya Hifadhi zetu. ni hayo tu!!

KARIBU HIFADHI YA TAIFA!
 
Duh
 
Muuaji mkubwa mbwa wee!!
 
Back
Top Bottom