Pastor ndo hana Ashki? Askofu na Nabii wa pale mwenge anatakiwa kupimwa DNA kwa tuhuma ya kuzaa na mke wa mtu. Viroja!We jamaa nlikua nahisi kama pastor kwa miaka mingi..kumbe hahahhahaa unataka nikusaidie kutenda dhambi? No way, siwez kuwa accomplice
Uwii wengine hiyo Passo kuipata unashukuru mungu. Hongera kwa mliobarikiwa neema na kumiliki magari ya class ya juu.Hongera mkuu tena hongera sana ila kumbuka Mungu anakuona ujue na Mungu hanaga mdhaa. Kwa hiyo ni heri ununue baisikeli au usiwe na chombo chochote cha usafiri kuliko passo sio? Nimekuelewa mkuu
Uwii wengine hiyo Passo kuipata unashukuru mungu. Hongera kwa mliobarikiwa neema na kumiliki magari ya class ya juu.Hongera mkuu tena hongera sana ila kumbuka Mungu anakuona ujue na Mungu hanaga mdhaa. Kwa hiyo ni heri ununue baisikeli au usiwe na chombo chochote cha usafiri kuliko passo sio? Nimekuelewa mkuu
Passo ni upuuz
Ndo tatizo la kutegemea Passo ikupeleke mkoani, wazee wa town trip wanaenjoy tu
Umenikumbusha Munawar...Enzi hizo munawar anamiliki kituo cha polisi, akipost gari ukasema bei iko juu anakuambia tukutane msimbazi police station! Sijui siku hiz yuko wapi?
Haaaaa haaaa....hakyanani mbavu zangu asee!We ndio wa Koromije kbs, ist yeboyebo kama wali! Huto tugari khaaa aisee ni twingi mjini unaweza dhani ni vya kuhongwa au promotion
Hahahaa Dar Dom masaa 7? We jamaa bana si ungepanda Shabiby tu
natamani nikuPm.........
Mimi huwa natoka tanga to dar about 350km na nna tumia mafuta ya sh 35000 only kama lita 15 hivi kwa wastani wa mwendo usiozidi 100km/hr na natumia masaa 4 mpka 5 depend na hali ya barabara, mtu alie sema alitumia mafuta ya 22,000 to moro ni sawa kabisa kwa passo ya 990ccYalikuwemo mengine Lita 10. Tanki haiwezi kuwa empty.
1 litre ni sawa na km 20 running ( maximum capacity). Reccomended ni km 17 per litre.
Lita 20 sawa. Kwenye tank kulikuwa na mafuta mengine kama lita 6 hivi.Mimi huwa natoka tanga to dar about 350km na nna tumia mafuta ya sh 35000 only kama lita 15 hivi kwa wastani wa mwendo usiozidi 100km/hr na natumia masaa 4 mpka 5 depend na hali ya barabara, mtu alie sema alitumia mafuta ya 22,000 to moro ni sawa kabisa kwa passo ya 990cc
Acha kudanganya watu. Mimi ni dereva wa IT zinatembea kama kawaida na hazichemshi. Jamaa kauziwa mbovuZinabebwa kwenye malori ya kubebea magari.
Ile huwa siigusi mimi na huwa siihesabu ktk calculations zangu, na utaijua tu tenki likiianza flash so nkiweka mafuta ya 35000 nafika na tenki halijanza flash kuonesha zilebaki zile lita 6 za reserveLita 20 sawa. Kwenye tank kulikuwa na mafuta mengine kama lita 6 hivi.