Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Huu ni mtazamo mkuu! na inawezekana ulipata gari ikiwa tayali inamatatizo. Mimi nina Passo kwasasa mbali na nyingine ninazotumia, na nimekuwa nikienda karibu mara mbili kila mwezi Mwanza - Dodoma bila kuhisi hiyo shida ya kuchemsha.

Unaweza kuangalia yafuatayo:
1. Hakikisha rejeta yako imefanyiwa ukaguzi/kusafishwa na mtu ambaye ni mtaalam.
2. Jaribu kuachana na kuweka maji ya Duwasa/Dawasco au kisima kwenye rejeta - jitahidi kutumia coolant. Napendekeza utumie coolant bora sio zile zinazouzwa gerezani. Pata kutoka BP au kampuni nyingine zinazojitambua.

3. Fanya wholesome wngine check - ipimwe system yote. Garage za veta au kwengineko wanaweza kupima gari gako na kukushauri vipuri ambavyo tayali vimechakaa na unahitaji kubadilisha.

Naamini ukifanya haya mkuu wangu, tatizo linaweza kupungua.

TATIZO LA PASSO:
Gari nyingi aina ya Passo zona shida ya usukani kuwa mgumu - kuna indicator moja inajitokeza unapowasha gari "EPS" - ikitokea hiyo unaweza kushawishika kutupa gari kwani hata baadhi ya mafindi wa toyota hasa mikoani hawajui namna ya kurekebisha.

Zaidi ya shida hii sijaona. Kinachonifurahisha zaidi ni kuwa natumia 120,000/- mwezi mzima tofauti na gari zangu nyingine nilipokuwa natumia zaidi ya 250,000/- kwa mwezi (hii nazungumzia Mwanza).

Jitahidi matunzo kwa gari yoyote - utaipenda
kwa siku unatembea nayo m ngapi
 
raum zikoje wadau kwa kwenda nayo mikoani?
Hakuna gar isiyofaa kwenda mkoani,,labda kama una gar ndogo kama vitz au passo kwa kwenda mpanda itakusumbua kidogo sababu ya mashimo mashimo lakin hakuna gar gar isiyofika mikoani
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Kiujumla I inahitaji ujasiri sana kumiliki gari za Toyota, sio gari zile za kuwa njoo usafiri tu was kawaida
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Nadhani hii post ni kwa ajili ya wanawake/wasichana....Sidhani mwanaume mwenye akili timamu anaweza kuendesha PASSO....Kwenda nayo safari ndefu ni upuuzi uliopitiliza.
 
Hizi ndo akili za ktz.Hatuwezi kutengeneza ata toyo leo tunajifanya kudharau passo.Gari ni gari mradi unyeshewi na unatembea umekaa swala lanamna yakulitumia inategemea mtu na mtu.kama wewe upeleki passo yako service ya uhakika na unaitumia ovyo ovyo ata ungekua la landcruiser ingechemsha tu.ata ivyo ayo magari nikwamatumizi madogo madogo ukitaka kupiga route ndefu lazima uicheki kwanza.
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Passo ni gari za wanawake za kwenda sokoni, Mkuu sio gari ya safari. Umekosa kabisa mwanaume angalau Ist. Ila passo ni za wanawake.
 
Toyota Vits 2017

125.jpg

Toyota-Vitz-2016.jpg
 
Kuna MTU alienda Rwanda na passo.
Hiyo Gari yako inachemka kwasababu hujatoa thermostat
Thermostat haiwezi kuwa sababu pekee ya gari kuchemsha, ingawa inawezekana ikawa mojawapo ya sababu, hasa katika Nchi zetu zenye joto.
Zipo sababu nyingi zinazosababisha gari kuchemsha! It's better akalipeleka gari kwa wataalam wamsaidie!
 
Jamani acheni majungu gari za sasa ni modern cars na zina improved cooling system...hizo zinatoka dar bandarini mpaka zimbabwe usiku na mchana zinatembea...kama huna ufahamu wa kutosha ushishauri kitu ambacho hujui..
Mimi nina suzuki swift 1.3 odometer 1400000km lakini nimeenda dar to arusha moja kwa moja na nikarudi.
Nikasafiri dar to mbeya wastani wa km 900..nikarudi dar. Tena nikarudi mbeya sasa gari iko mbeya odometer imegonga 150000km..safari hizo zote sikuwahi pata tatizo lolote.. Nilifanyabtu service ya engine oil tena cheap oil- SAE 40 ORYX, atf oil na coolant original sio ile ya kibongo..Kagari kapo bomba kabisa kuchemsha...
Kwa gari ndogo yaweza kwenda masafa bila shida yeyote...vinginevyo kama ni kimeo au hufanyi service
 
Kaka nikikua na vitz tena namba A na nilinunua kwenye ubishan wa simba na yanga,,kiukwel sehem pekee ambayo sikwenda nayo ni Mpanda Katavi... Lakin utaniambia pori gan lenye madin ambalo sikukanyaga?? Utaniambia mkoa upi sikukanyaga?? Nimetoka manyovu kigoma saa nne asbhi peke yangu kwenye gar natoboa dar saa 10 alfajiri,,,tanga tabora naenda kama naenda kkoo,,sijawah kuongeza maji,wala kulala njian sbu ya usumbufu wa kuchemka,ila siku moja natoka tabora saa kumi jion nakuja dar kuzungukia nzega ndio nilimkwepa bodaboda nikaingia jiwe likachana rejeta kdgo... Bt anaeidharau Vitz old model 1999 weee nakuona kichaaa.... Sikumbuki mara ya mwisho kulipa nauli ya bas ni lini kwa kwel....kama kisingepata ajali pale Kigwe Tabora hakika nasema anaeendelea kuidharau vitz namshangaaa
 
Kuna gari hata traffic anaouna raha kuinyooshea tochi hata kama ipo 20kph hawezi kuamin kwa macho kama landcruiser vx 8 subar.benz.bmw
 
Kuna MTU alienda Rwanda na passo.
Hiyo Gari yako inachemka kwasababu hujatoa thermostat
Siyo kweli bw Bujibuji
Thermostat haitakiwi kutolowe hata kama gari linatumika jangwani,
Hiyo kitu ni muhimu sana kwa gari ktk mazingira yoyote I mean kwenye nchi za joto na baridi
Naomba kuwakilisha
 
Gari yenyewe bei yake sawa na iphone 7 mbili sasa ya nini....njooni kwenye bmw, benz, audi, na vw
Mkuuu wewe unajua magari, nilishaapa sitanunua Japanese car especially Toyota labda iwe ya biasharaa, sasa namilki VW, nikitoka hapo naangukia audi then BMW X3
 
Back
Top Bottom