Mr. PriceKing Two
JF-Expert Member
- Feb 4, 2014
- 235
- 45
Wakuu mwenye gari tajwa hapo juu ya ukubwa wa Fuso au Canter kwa ujazo wowote naomba ani PM nitamcheki.
Kwa DSM itakuwa nzuri zaidi.
Kwa DSM itakuwa nzuri zaidi.
mimi nina canter ya tani mbili unasemaje
Mkuu unahitaji ya kukodi au kununua?
mimi nina canter ya tani mbili unasemaje
Wakuu mwenye gari tajwa hapo juu ya ukubwa wa Fuso au Canter kwa ujazo wowote naomba ani PM nitamcheki.
Kwa DSM itakuwa nzuri zaidi.
call 0779420000. ipo fuso litters 8000. na nissan 10000litters
dah mkuu ishachukuliwa tayari,ilobaki haina tank