Inahitajika: Laptop iliyotumika kwa bei nzuri

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
707
Laptop iliyotumika inahitajika. Isiwe very complicated, kwa bei nzuri. Isizidi TZS 600,000/=. Kwa yeyote yule ambaye anaiuza, tuma sms au piga simu 0786-019019. Asante.
 
Hujataja bei. Specs ni nzuri. Lakini DOS? Kwa nini usiweke hata XP?
 
Mkuu nakushauri uende kwenye maduka ya sasatel ukachukue Acer emashine mpya.
 
Hujataja bei. Specs ni nzuri. Lakini DOS? Kwa nini usiweke hata XP?
Bei si umesema isizidi laki6?hiyo ni 599,999.00 hiyo XP isikupe shida nitakupa ufumbuzi. jaribu na sasatel kama ulivyopewa ushauri unaweza kupata a better deal.
 
Hujataja bei. Specs ni nzuri. Lakini DOS? Kwa nini usiweke hata XP?

HP COMPAQ MINI 110 LAPTOP Tshs 599,999/-
INTEL ATOM N270 (1.6 GHZ), 1GB RAM, 160 GB HDD, NO DVD DRIVE,
CARD READER, WIFI, USB PORT, INBUILT WEBCAM MIC, 10.1” DIAGONAL WIDE SCREEN
WINDOWS XP HOME
 
Laptop iliyotumika inahitajika. Isiwe very complicated, kwa bei nzuri. Isizidi TZS 600,000/=. Kwa yeyote yule ambaye anaiuza, tuma sms au piga simu 0786-019019. Asante.
Kaka mbona hapo ukiongeza kilo tu unapata mzigo mpya ambao hujatumika, anyway ushauri wangu nenda Kariakoo, computer sunrise
 
Back
Top Bottom