Wadau,
Nahitaji kupata bamboo /mianzi
ambayo imekomaa na eidha
imekauka ama bado (ikiwa
haijavunwa pia). Naomba kwa
yeyote anayefahamu inapopatikana
ama kama ni mkulima anijuze.
Wadau,
Nahitaji kupata bamboo /mianzi
ambayo imekomaa na eidha
imekauka ama bado (ikiwa
haijavunwa pia). Naomba kwa
yeyote anayefahamu inapopatikana
ama kama ni mkulima anijuze.