Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote.

ha haaaaaaaaaaaa, rafiki umegundua mke anauma eeeh!
na mimi nimefanya kusudi kukuambia waanze wao, ili wakijakusitisha, mimi namsamehe hubby wangu tunaendelea, kazi itakuwa kwako kukumbuka.....................lol!
 
Mi ndo sitasamehe? Khaaa!

Aisee naona huu mjadala hauna tija wala hauna mashiko kwa maendeleo ya taifa.

Diskasheni Klozd!!!
 
Ni mafundisho mazuri sana kuhusu masuala ya ndoa.
 
Naamini kuna fundisho kubwa japo niliwahi kuisoma kabla sijajiunga na FB nikawa naihitaji tena ktk kumbukumbu zangu nashukuru kwa kuirudisha bila shaka m.mungu alijua hitaji langu:A S 465:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…