Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote.

Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote.

Hahahahaa! Ili mradi tu wasitugeuke..... Hawachelewi kunogewa afu wakatutangazia zoezi limesitishwa! Ye akarudi kwako bibi akarudi kwangu..... Watakuwa wanajikumbushiaje sasa? STUKA FP...Think!! Ni heri tuanze sisi. Afu tukirudi tunawaambia "hamna kitu mule, usiende atakuchafua tu" Hahahahahah!!!!
ha haaaaaaaaaaaa, rafiki umegundua mke anauma eeeh!
na mimi nimefanya kusudi kukuambia waanze wao, ili wakijakusitisha, mimi namsamehe hubby wangu tunaendelea, kazi itakuwa kwako kukumbuka.....................lol!
 
Mi ndo sitasamehe? Khaaa!

Aisee naona huu mjadala hauna tija wala hauna mashiko kwa maendeleo ya taifa.

Diskasheni Klozd!!!
 
Naamini kuna fundisho kubwa japo niliwahi kuisoma kabla sijajiunga na FB nikawa naihitaji tena ktk kumbukumbu zangu nashukuru kwa kuirudisha bila shaka m.mungu alijua hitaji langu:A S 465:
 
Back
Top Bottom