Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 28, 2025 #21 Lookmalasin said: Hivi sio vipaumbele vya hii serikali otherwise hili tatizo wangelimaliza nchi nzima tayari. Vipaumbele ni mabango, pesa kwa wake wenza, serikali kununua V8. Click to expand... Sasa vuta picha mkoa hali iko vipi
Lookmalasin said: Hivi sio vipaumbele vya hii serikali otherwise hili tatizo wangelimaliza nchi nzima tayari. Vipaumbele ni mabango, pesa kwa wake wenza, serikali kununua V8. Click to expand... Sasa vuta picha mkoa hali iko vipi
Lookmalasin JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,723 Reaction score 2,358 Jan 28, 2025 #22 Mashamba Makubwa Nalima said: Sasa vuta picha mkoa hali iko vipi Click to expand... Itakuwa mbaya sana.
Mashamba Makubwa Nalima said: Sasa vuta picha mkoa hali iko vipi Click to expand... Itakuwa mbaya sana.
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 1,482 Reaction score 2,260 Jan 28, 2025 #23 Nchi imejaa maziwa na mito ila hola.. nchi ngumu hii
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Jan 28, 2025 #24 Hivi ni huduma gani ya kijamii serikali hii inatoa bila kero? Umeme shida,maji shida,afya shida,shule ndio Kayumba? Yaani tunalipa kodi za nini?
Hivi ni huduma gani ya kijamii serikali hii inatoa bila kero? Umeme shida,maji shida,afya shida,shule ndio Kayumba? Yaani tunalipa kodi za nini?