KERO Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji Meneja wa DAWASA kazi imekushinda, ondoka ofisini

KERO Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji Meneja wa DAWASA kazi imekushinda, ondoka ofisini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hivi ni huduma gani ya kijamii serikali hii inatoa bila kero?
Umeme shida,maji shida,afya shida,shule ndio Kayumba? Yaani tunalipa kodi za nini?
 
Back
Top Bottom