chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji , na wala hamna taarifa wala maelezo yoyote ambayo yanatolewa na mamlaka husika.
Meneja umetulia ofisini una sign posho na kupokea mshahara bila kufanya kazi, maana ni kazi gani hiyo ambayo unafanya wakati wananchi hawapati huduma?
Tusishangae muda wowote kukasikika mlipuko wa magonjwa yatokanayo na ukosefu wa maji kama ugonjwa wa kipindupindu n.k yanayosababishwa na ukosefu wa maji.
Soma Pia: Wananchi wa Tankini na Muheza - Kibaha hatuna huduma ya maji wiki sasa, DAWASA hawatupi majibu ya kueleweka
Ni familia ngapi au mama Lishe wangapi wanaomudu kununua maji ya bomba kwa shilingi 1500 bei ya dumu moja kwa sasa? Au maji ya chumvi kwa shilingi 1000?
Aaaa inaudhi sana.