Inaitajika nyumba ya kupanga Mabwepande (bunju b)

Inaitajika nyumba ya kupanga Mabwepande (bunju b)

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Naitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Mabwepande Bunju B. iwe stand alone na ndani ya fance. Pia naitaki viwanja vya kununua(vilivyopimwa) maeneo ya Magwepande na Bunju B. Kama una offer naomba nicheck DM.
 
Kpo hapo Mabwepande,kina hati kabisa nicheki kwa namba 0677089280 au 0786504002.Sqm 447 bei 9million haipungui.
 
Back
Top Bottom