Inajulikana mwisho wa Simba huwa ni robo fainali. Je, Yanga mnawaona wakifika wapi?

Inajulikana mwisho wa Simba huwa ni robo fainali. Je, Yanga mnawaona wakifika wapi?

Kama Simba wana uhakika Basi Sisi wananchi hata robo fainali tunaweza kuikimbia tusipeleke tim uwanjani
 
Robo fainali Caf champions league siyo sawa na huko shirikisho kwanini mnajilinganisha na Simba...!
 
Wananchi wenyewe wanawaza kunyanyua tu makwapa. Huwa hawaachi kitu.
 
Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyojieleza hapo, ni kuwa, kila mtu anajua mwisho wa Simba kimataifa ni Robo Fainali. Hata wenyewe wana Simba ukiwauliza huwa wanasema wao mafanikio yao huwa ni kufika Robo Fainali kimataifa.

Je, wananchi Yanga nyie vipi, mnaiona timu yenu ikifika hatua ipi? Je, na nyie mtaridhika hapo Robo Fainali kama hawa Simba au mnatoboa kwenda mbele zaidi?

Komenti ziwe fupifupi.
Ubingwa Jangwani.
 
Kengeee mwenyewee, umevurugwaaa nn,
Hao Horoya wachovu wako makundi CL, je nyie Utopwisee mko wapiii??
Mbweha wee.
Sikia wew Mkojani Usifananishe hao manyoya fc na waharabu. Ngoja mkutane nao huko robo fainal ndio utajua haujui ngumbar wew
 
Sikia wew Mkojani Usifananishe hao manyoya fc na waharabu. Ngoja mkutane nao huko robo fainal ndio utajua haujui ngumbar wew
Wee usiniletee makasiriko mie hapa, Al hilal aliwafurushaa CL mkaangukia kombe la losers, sasa unaanzaje kusema horoya wachovu akat yuko ktk mashindano ambayo wee ulitolewa km paka mwizi jikoni kwa watu.

Hao waarabu tushakutana nao sanaa, na sio shida zetu, mbwa koko wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbna hao wachezaji walishindwa kuwabakisha CL na Al Hilal aka wafurushaaaaa, CL sio makalio kwamba kila team inashiriki.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu avatar yako inatukwaza
 
Back
Top Bottom