Inakera sana kupishana na kijana wa kiume ananukia kama mwanamke

Huo uanaume wa kizamani..kwamba kisa DUME hupaki mafuta..kisa dume CHUPI UNAVAA WEEK..kisa dume HUNUKII PERFUMES.. hivi vitu vinazidisha hata. Mahaba na mkeo nyumbani... Harufu nzr inavutia vipepeo na nyuki....mkuu..
umeona eeh,mwanamme akinukia kuna raha yake etiiiii,unapanda kitandani unanuka kama beberu alochelewa kurudi malishoni ina khusuuuuuuuuu?
 
Umejuaje km kuna kunusa chupi kabla ya kuvaa km siyo tabia yako?
Ma Mrs watu mnamaneno meeengi,
Hebu rudia kusoma alichoandika mtoa mada,
Kasema mnanukia kikike kike,umemuelewa lkn?,
Labda nikusaidie jamaa alikuwa anawasema ninyi mnaichangia drsng table na wake ama Dada zenu,
Matokeo yake mnajispray unyunyu wa kike,ndo maana kasema mnanukia kikike kike,
Hata watengeneza manukato wametofautisha mnukio wa fume za KE na ME,
Lkn tusiseme sana maana mnafanya hivyo sababu ya kazi zenu,
Ky jelly hoyeee
 
Sasa kama mm nanusa chupi..ningekuwa nasapoti MARASHI?mnaonusa chupi ni nyie mnaonuka KIBEBERU..pia inaonekana kwa jinsi gani sio MTANASHATI....unaona BORA PESA ZAKO UNUNUWE POMBE YA MNAZI..AU DADEE...kuliko upate body spray....ila mm sikulaumu...kuwa mtanashati ni jinsi mtu ulivyolelewa tangia mtoto..au jinsi BABA YAKO alivyokuwa ukimuona wakati upo mtoto.. ...kama wewe MNUKA KWAPA.. basi hata mzazi wako wa kiume alikuwa hivyo.. Sikulaumu mkuu....maji hufata mkondo
 
Kunukia hatukatai ila tujaribu kuangalia marashi tunayotumia yaendane na hali halisi ya mtu
 
fanyeni mambo yanayowahusu yasiyiwahusu acahaneni nayo,,mausha ya mtu yanakuhusu nini.....this was happening in medieval world 14 C
 
Nilivyomuelewa mleta post nikuwa mwanaume apake manukato ya kiume na ke nao waendelee na manukato yao hajakataza me kutumia
 
Nilivyomuelewa mleta post nikuwa mwanaume apake manukato ya kiume na ke nao waendelee na manukato yao hajakataza me kutumia
Amesema MWANAUME kunukia kama mwanamke... Alimaanisha mwanaume utanukia vp?unapaswa usinukie...wanaonukia ni wanawake... Hyo ndy maana kamili ya post yake
 
Nilivyomuelewa mleta post nikuwa mwanaume apake manukato ya kiume na ke nao waendelee na manukato yao hajakataza me kutumia
Hujanielewa Mkuu..
 
Amesema MWANAUME kunukia kama mwanamke... Alimaanisha mwanaume utanukia vp?unapaswa usinukie...wanaonukia ni wanawake... Hyo ndy maana kamili ya post yake
Unanukia ili iwe nini... Kama una kikwapa oga viuri.. Una fungus tafuta matibabu.. Nguo zatema fua.

Maspray ya nini kijana wa kiume!??
 
Nipo hapa najipuliza kitu Lacoste ndo nitoke nikapige beer baridiii teh teh teh
 
Utanashati siyo kutumia marashi ya kike ili unukie kikike kike,
Lkn km unavyosema nimeiga kwa baba angu OK sawa
Km ambavyo ww umeiga tabia za mama ako nadhani nakuwazungushia watu nyonga utaanza km anavyofanya yy
 
Amesema MWANAUME kunukia kama mwanamke... Alimaanisha mwanaume utanukia vp?unapaswa usinukie...wanaonukia ni wanawake... Hyo ndy maana kamili ya post yake
Kunukia kama,
Nasisitiza kama
Neno kama,
 
Utanashati siyo kutumia marashi ya kike ili unukie kikike kike,
Lkn km unavyosema nimeiga kwa baba angu OK sawa
Km ambavyo ww umeiga tabia za mama ako nadhani nakuwazungushia watu nyonga utaanza km anavyofanya yy
Wewe pimbi. ""fuatilia uzi wng. Utaona MARASHI ninayotumia
 
Mnisamehe tu leo... Inakera saanaa..

Lets get back to naturality... Girls and Boys get smart..
Chakula hicho kiongozi hutumii nn ukikuwa utapenda wanukiage wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…