popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Sana km unavyonukia we we ke na yeye me ananukia hivyo hivyo kwa nini usivutike na wewe mwenyewe,tofautisheni minukioWadada tunapenda kuhug wakaka wanaonukia vizuri hata kuwa karibu nao yamkini sio mpenzi. Mwanaume akinukia vizuri na awe smart ni kivutio kizuri sana. Binafsi napenda mwanaume wangu anukie vizuri inanifanya kila muda nitamani kumkiss shingoni mwake au anikumbatie. Napenda perfume nzuri na yeye ni mpenzi wa manukato mazuri basi nikiwa nae hata faragha na enjoy sana.
Acheni kuiga
Hata watengenezaji wametofautisha minukio ya ke na me,
Mm sinukii chochote,manukato wala kikwapa,na nnajikubali na kujipenda sana,nawaona wanaohangaika kubadili vichupa na majina ya manukato