Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ya mgando ni bei sawa na lotion?Mawazo ya kimasikini, hayo mafuta ya mgando unayaokota????
Kuna lotion hadi za buku sasa si cheap kuliko mafuta ya mgando?Kwani ya mgando ni bei sawa na lotion?
Labda sijakuelewa vizuri,unamanisha mwanamme asijitie Perfume aoge atie mafuta thats it?Mnisamehe tu leo... Inakera saanaa..
Lets get back to naturality... Girls and Boys get smart..
Mtoto wa kiume ukioga tu na baseline jelly tosha kabisa. Kama huogi tazamia vikwapa kama beberu. habari za mtoto wa kiume na mapafume, mapoda ujinga mpaka ukipishana naye unahisi kutongoza sioNi bora watu wanuke vikwapa sio...
Kila mtu ana haki ya kuutumia mwili wake anavyopenda, mwili wa mwingne we utaupangiaje matumizi! Nimekuelewa sana bi dadaWadada tunapenda kuhug wakaka wanaonukia vizuri hata kuwa karibu nao yamkini sio mpenzi. Mwanaume akinukia vizuri na awe smart ni kivutio kizuri sana. Binafsi napenda mwanaume wangu anukie vizuri inanifanya kila muda nitamani kumkiss shingoni mwake au anikumbatie. Napenda perfume nzuri na yeye ni mpenzi wa manukato mazuri basi nikiwa nae hata faragha na enjoy sana.
Ni mtarajia, ila kwa sasa bado nikifikia hicho cheo ndio nipakwe lakini sio nijipake mwenyewe nikiwa haiKwani wewe sio maiti mkuu
Hajakataa usijinukishe swala ni aina ya manukatoHuyu jamaa atakuwa hana hela ya manukato.kwahiyo anataka atuaminishe wanaume wote kuwa kujinukisha ni vibaya
Hahahah watu wa Daslam mnatabu sana nyieMnisamehe tu leo... Inakera saanaa..
Lets get back to naturality... Girls and Boys get smart..
Hilo beberu jike linapatikana wapi mkuu?Hangover za weekend sometimes tabu tupu...
Nahic anataka kufananisha watu girls and boys like beberu jike na dume..
Hivi na jike huwa linaharufu kweli [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sawa mkuu
Uko makini Sana, inaonekana ulikuwa best student all the way back to time of your schooling.Hilo beberu jike linapatikana wapi mkuu?
Yaani anaejinukatisha kikike kike aonewe wivu,amaa kweli tutumiavyo vinatujenga kufanana navyo maana hata matumizi ya neno wivu ulivyolipachika km hao mnao nukia sawa naoPost hii imejaa dalili ya wivu na usela wa kizamani
Kwani mdau kasema unuke jasho,Mtu akinuka jasho anasemwa, akijipulizia marashi mnasema sasa ajipake mavi au??