Inakera sana kupishana na kijana wa kiume ananukia kama mwanamke

Inakera sana kupishana na kijana wa kiume ananukia kama mwanamke

Ama hakika ujana ni nusu ya wendawazimu......mambo uliyokuwa ukiyafanya ulipokuwa kijana ukiyafikiria uzeeni ndio unajua kuwa ujana ni nusu ya uendawazimu.....
Hangover za weekend sometimes tabu tupu...

Nahic anataka kufananisha watu girls and boys like beberu jike na dume..

Hivi na jike huwa linaharufu kweli [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sawa mkuu
What do u mean!?
 
Wadada tunapenda kuhug wakaka wanaonukia vizuri hata kuwa karibu nao yamkini sio mpenzi. Mwanaume akinukia vizuri na awe smart ni kivutio kizuri sana. Binafsi napenda mwanaume wangu anukie vizuri inanifanya kila muda nitamani kumkiss shingoni mwake au anikumbatie. Napenda perfume nzuri na yeye ni mpenzi wa manukato mazuri basi nikiwa nae hata faragha na enjoy sana.
 
Mkuu nadhani ni ufinyu wa mawazo unakusumbuwa...labda nikwambiye kitu kwa faida yko..duniani kila mtu ana vitu anavyopenda ktk maisha yake.. Ili awe happy...au awe comfortable... Wapo walevi...wapo wanaopenda kufumuliwa marinda...wapo wanaopenda kuvaa... Wapo wanaopenda kunukia marashi mazuri sn....mimi ni mmoja wao...hao wanaopenda kunukia marashi mazuri mno....tena inaonyesha kwa jinsi gani ulivyokuwa mbali na UTANASHATI...huwezi kukutana na mwanaume mtanashati HUKU nguo zinanukia DAWA YA MENDE...mimi nanunuwa perfumes hata za laki 800000 huo ndy ugonjwa wangu..bila perfume ni kama sijavaa nguo...mkuu....na wakina dada hawapendi wanaume wasiojipenda...hata km una pesa lakini unanuka KORODANI..unanuka MDOMO..unanuka VIATU au KIPWAPA basi ujuwe wewe ni ATM tu..hao warembo wanakutumia tu..lakini wana wanaume watanashati ..PERFUME NI KAMA NGUO..usipo tumia hata siku moja unajiona km hujavaa shirt...au suruali...PIA KUNUKA DAWA YA MENDE au kunuka MIGUU....kunuka MDOMO...hakukufanyi uwe mwanaume kamili..ni UCHAFU TU MKUU..
772416d56f9418832a36ceeec6e94ba6.jpg
hapo mkuu pana Joop..pana KOROUS.. Pana esymiake..na HUGO BOSS....hizo ni hatari ya danger mkuu.. Huo ndy ugonjwa wangu mkuu....usituanike humu kama wewe ni SIO MGONJWA WA MANUKATO..
 
Get smart..... Haya maharufu feki feki siioo...kuna masumu humoo..



Hamuwezi amini.. Mimi saivi natumia vasseline jelyy...

Only
Hata mimi napaka mafuta ya mgando aise, kupaka lotion hizi ni ushamba na kuharibu hela tu.
 
Mbaya zaidi anaingia kwenye hiace au sehemu ya mkusanyiko wa watu wengi anaharibu hali ya hewa kabisa.....wengine unakuta ni washamba hata tofauti ya marashi ya MADEMU, MAITI na WANAUME hajui matokeo yake anajitundika yale ya MAITI yanoyonukia sana akidhani ndio amekomeshea sasa inakuwa ni kero kwa wasiopenda marashi kwani huwatesa wengine na si yeye aliyejipaka
Bora huyo ambaye kapulizia marashi ya maiti yenye KUNUKIA kuliko mwanaume anayenuka jasho, kikwapa, pombe au tumbaku hii inakera zaidi.
 
Mbaya zaidi anaingia kwenye hiace au sehemu ya mkusanyiko wa watu wengi anaharibu hali ya hewa kabisa.....wengine unakuta ni washamba hata tofauti ya marashi ya MADEMU, MAITI na WANAUME hajui matokeo yake anajitundika yale ya MAITI yanoyonukia sana akidhani ndio amekomeshea sasa inakuwa ni kero kwa wasiopenda marashi kwani huwatesa wengine na si yeye aliyejipaka
Kwani wewe sio maiti mkuu
 
Back
Top Bottom