A
Anonymous
Guest
Makondakta wa daladala wamekuwa wakitoza nauli isivyo maelekezo kwa kigezo cha kukosa Sh 100 au Sh 200 na kusababisha kukata nauli ya juu endapo tu abiria hana chenchi kamili hiii ni kero hasa wa daladala za kutokea Bunju.
Daladala kwenda Makumbusho kwenda Morroco nauli inaweza kuwa Sh 1,200 labda umepandia Boko unaenda Makumbusho lakini konda ukimpa Sh 2,000 anakwambia kama huna mia mbili anakata 1,500 imekuwa tabia ya kila kondakta kusema hana chenji na kutoza nauli za juu.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli